breaking news

Kitaifa

HATMA YA KESSY KUPATIKANA BAADA YA WATANI KUKUBALI KUKAA MEZA MOJA
0

HATMA YA KESSY KUPATIKANA BAADA YA WATANI KUKUBALI KUKAA MEZA MOJA

October 29th, 2016 | by mwana kabumbu
Watani Yanga na Simba wanakutana leo chini ya usimamizi wa Mjumbe wa Heshima wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Said El Maamry. El Maamry anakutana na pande hizo mbili kujadili suala la beki Hassan Kessy ambaye Simba...
Yanga yawaponza wachezaji Kagera Sugar, wasimamishwa kwa tuhuma za upangaji matokeo
0

Yanga yawaponza wachezaji Kagera Sugar, wasimamishwa kwa tuhuma za upangaji matokeo

October 28th, 2016 | by mwana kabumbu
Uongozi wa Kagera Sugar umewasimamisha wachezaji wake wawili golikipa Hussein Sharif ‘Casillas’ na beki Erick Kyaruzi kwa tuhuma za kuihujumu timu wakati wa mchezo wa liopoteza kwa kufungwa magoli 6-2. Katibu Mkuu wa klabu...
Barua ya BMT kupiga marufuku mabadilko Simba na Yanga hii hapa.
0

Barua ya BMT kupiga marufuku mabadilko Simba na Yanga hii hapa.

October 27th, 2016 | by mwana kabumbu
Wakati harakati za mabadiliko ya uendeshaji wa vilabu ikiwa ndiyo habari ya town, Baraza la michezo Tanzania BMT limezitaka klabu za Simba na Yanga kusitisha mara moja mchakato wa mfumo wa mabadiliko wa uendeshaji wa klabu mpaka...
MAISHA BAADA YA PLUIJM, YANGA YAIKAMUA JKT RUVU GOLI 4-0
0

MAISHA BAADA YA PLUIJM, YANGA YAIKAMUA JKT RUVU GOLI 4-0

October 27th, 2016 | by mwana kabumbu
Mechi ya kwanza bila kocha wao mkuu, kikosi cha Yanga kimepata ushindi wa bao 4-0 dhidi ya JKT Ruvu Stars ikiwa ni mwendelezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kocha msaidizi Juma Mwambusi alisimama kwenye benchi la ufundi kutokana na...
Hatuamini kupata kitu kipya kutoka kwa Hans – Azam FC
0

Hatuamini kupata kitu kipya kutoka kwa Hans – Azam FC

October 26th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya Hans van Pluijm kujiuzulu kuifundisha klabu ya Yanga zikaanza kuenea taarifa kwamba matajiri wa ligi ya Tanzania bara klabu ya Azam FC inamuhitaji mholanzi huyo aliyeisaidia Yanga kupata mafanikio katika kipindi chake...
PLUIJM ATHIBITISHA KUANDIKA BARUA YA KUJIUZULU, ATOA MANENO YA MWISHO
0

PLUIJM ATHIBITISHA KUANDIKA BARUA YA KUJIUZULU, ATOA MANENO YA MWISHO

October 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Kocha Mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amethibisha kukabidhi barua ya kujiuzulu kwa uongozi wa Yanga baada ya kusambaa kwa taarifa za ujio wa kocha mpya mzambia George Lwandamina ambaye atachukua mikoba ya Hans. Pluijm amefikia...
Yanga imemtangaza C.E.O atakaeanza kazi November 19
0

Yanga imemtangaza C.E.O atakaeanza kazi November 19

October 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu Tanzania bara klabu ya Yanga imemteuwa Jerome Dufourg kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu kuendesha klabu pamoja na kusimamia fedha. Mfaransa huyo ambaye amewahi...
MANJI AWASHANGAA WANAOSHINDWA KUTOA BUKU YA UANACHAMA ILA WANA PESA YA KMLIPA WAKILI
0

MANJI AWASHANGAA WANAOSHINDWA KUTOA BUKU YA UANACHAMA ILA WANA PESA YA KMLIPA WAKILI

October 23rd, 2016 | by mwana kabumbu
Pamoja na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kuwataka wanachama wa Yanga kuwa watulivu mara baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu, lakini amehoji waliokwenda mahakamani kama wameshindwa kulipa ada ya Sh 1,000 kwa mwezi,...
MZEE AKILIMALI ATISHIWA MAISHA, ARIPOTI KWA MKUU WA MKOA
0

MZEE AKILIMALI ATISHIWA MAISHA, ARIPOTI KWA MKUU WA MKOA

October 23rd, 2016 | by mwana kabumbu
Mzee Ibrahim Akilimali ambaye ni Katibu wa Baraza la wazee wa Yanga SC amesema amesharipoti polisi kutokana na kutishiwa kupigwa ikiwa ni pamoja na kuuawa na baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kutokana na kutoa maoni yake juu ya...
YANGA YATOA KIPIGO CHA MBWA MWIZI
0

YANGA YATOA KIPIGO CHA MBWA MWIZI

October 23rd, 2016 | by mwana kabumbu
Story kubwa katika anga la michezo hapa Bongo ni namna ambavyo mchakato wa mabadiliko ya klabu ya Yanga unavyozidi kuchua sura mpya kila kukicha, lakini ukiweka hilo kando, October 22 Yanga imetoa dozi ya maana kwa Kagera Sugar...