breaking news

Kitaifa

MANYIKA AMUOMBA RADHI BABA YAKE, MZAZI HUYO AELEZA KUHUSIANA NA WALIVYOMALIZANA KWA AMANI
0

MANYIKA AMUOMBA RADHI BABA YAKE, MZAZI HUYO AELEZA KUHUSIANA NA WALIVYOMALIZANA KWA AMANI

November 22nd, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya safari ndefu, hatimaye kipa wa Simba, Peter Manyika, amemuangukia baba yake mzazi, Manyika Peter kwa kumuomba msamaha kutokana na vitendo vyake vya utovu wa nidhamu alivyokuwa akifanya, vilivyosababisha aporomoke...
YANGA WAAMBIWA WAAMBIWA MILIONI 300 KUMPATA MSHAMBULIAJI HUYU
0

YANGA WAAMBIWA WAAMBIWA MILIONI 300 KUMPATA MSHAMBULIAJI HUYU

November 22nd, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Yanga kupitia mwenyekiti wake Yusuph Manji  itawalazimu  kutoa pesa ya kutosha kama kweli wanaitaji huduma ya mshambuliaji wa Zesco United  mwenye uraia wa Kenya Jesse Were ambaye pia ananyemelewa na klabu kubwa...
YANGA: HATUNA PAPARA KWENYE USAJILI
0

YANGA: HATUNA PAPARA KWENYE USAJILI

November 22nd, 2016 | by mwana kabumbu
Uongozi wa Yanga umeapa kutofanya papara katika suala la usajili na badala yake, kila kitu kitakwenda kiufundi. Habari za ndani kutoka kamati ya mashindano ya Yanga zimeeleza, mambo yamekuwa yakifanyika taratibu na kufuata...
BUSUNGU AZIITA STAND NA MTIBWA KUZUNGUMZA NA YANGA
0

BUSUNGU AZIITA STAND NA MTIBWA KUZUNGUMZA NA YANGA

November 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu za Stand United na Mtibwa Sugar zinapigana vikumbo kuwania saini ya mshambuliaji wa Yanga Malimi Busungu ambaye hivi karibuni alijiondoa kwenye timu hiyo kutokana na kuwekwa benchi. Busungu amesema kwasasa hawezi...
LWANDAMINA KUFUMUA KIKOSI YANGA, TWITE, CHIRWA OUT
0

LWANDAMINA KUFUMUA KIKOSI YANGA, TWITE, CHIRWA OUT

November 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kocha mpya wa Yanga Mzambia George Lwandamina ameanza kukifumua kikosi hicho baada ya kupendekeza jina la mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya Jesse Were asajiliwe kipindi hiki cha dirisha...
Van der Pluijm aaga Yanga kwa ushindi
0

Van der Pluijm aaga Yanga kwa ushindi

November 11th, 2016 | by mwana kabumbu
Bao la ushindi lililofungwa dakika ya 57 na Nahodha Haruna Niyonzima lilitosha kuipa pointi tatu timu ya Yanga na kumuacha kwa furaha kocha Mdachi Hans van der Pluijm ambaye huo ni mchezo wake wa mwisho kuifundisha timu...
VIDEO: YANGA ILIVYOITUMBUA PRISONS
0

VIDEO: YANGA ILIVYOITUMBUA PRISONS

November 7th, 2016 | by mwana kabumbu
Yanga SC wamejitutumua na kufuta makosa yao dhidi ya Prison ya Mbeya na kufanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa bao pakee la penati katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo ambao ulikuwa mkali...
YANGA YACHEZEA KICHAPO MBEYA, YALAMBWA 2-1
0

YANGA YACHEZEA KICHAPO MBEYA, YALAMBWA 2-1

November 2nd, 2016 | by mwana kabumbu
Mabingwa watetezi wa ligi ya Vodacom Tanzania Yanga leo imepokea kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mbeya City katika mchezo wa ligi ya Vodacom, uliopigwa uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya. Hicho ni kipigo cha pili msimu huu kwa...
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY, KAMUSOKO NJE NIYONZIMA NDANI
0

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY, KAMUSOKO NJE NIYONZIMA NDANI

November 2nd, 2016 | by mwana kabumbu
Hiki ndiyo kikosi cha Yanga SC leo dhidi ya Mbeya City 1. Deogratius Munishi 2. Hassan Kessy 3. Mwinyi Haji 4. Andrew Vicent 5. Vincent Bossou 6. Mbuyu Twite 7. Simon Msuva 8. Haruna Niyonzima 9. Amissi Tambwe 10. Donald Ngoma...
MANENO YA KWANZA YA PLUIJM BAADA YA KUREJEA
0

MANENO YA KWANZA YA PLUIJM BAADA YA KUREJEA

October 29th, 2016 | by mwana kabumbu
MUDA mfupi baada ya kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu kuinoa timu ya Yanga SC, mkufunzi raia wa Holland, Hans van der Pluijm amesema atafanya kila awezalo pamoja na wachezaji wake kuhakikisha timu hiyo inatetea ubingwa wake wa...