breaking news

Kitaifa

SIMBA YANYUKWA 2-1 NA MTIBWA
0

SIMBA YANYUKWA 2-1 NA MTIBWA

December 13th, 2016 | by mwana kabumbu
Simba imechapwa kwa mabao 2-1 katika mechi dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Kipigo cha Simba, kinapunguza makali ya watani wake Yanga ambao walichapwa kwa mabao 2-0 na JKU ya Zanzibar....
LWANDAMINA AANZA KWA KICHAPO, MWENYEWE ASEMA LENGO LA MCHEZO HUO HAIKUA KUPATA USHINDI
0

LWANDAMINA AANZA KWA KICHAPO, MWENYEWE ASEMA LENGO LA MCHEZO HUO HAIKUA KUPATA USHINDI

December 11th, 2016 | by mwana kabumbu
Kocha mpya wa Yanga George Lwandamina ameanza vibaya majukumu yake ya kuifundisha timu hiyo baada ya  kufungwa mabao 2-0 na JKU ya Zanzibar katika mechi ya kirafiki iliyopigwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Katika mchezo huo...
SAKATA LA KESSY: TFF YAAMUA YANGA IILIPE SIMBA MIL. 50
0

SAKATA LA KESSY: TFF YAAMUA YANGA IILIPE SIMBA MIL. 50

December 9th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya kupitia mawasilisho ya pande zote kwa njia ya mahojiano, na vielelezo Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji imebaini mambo yafuatayo ambayo yanapaswa kuchukuliwa hatua za haraka: 1. Mchezaji Hassan Hamis...
OMOG: YANGA ITAJUTA KUMUONDOA PLUIJM
0

OMOG: YANGA ITAJUTA KUMUONDOA PLUIJM

December 5th, 2016 | by mwana kabumbu
Kocha  mkuu wa Simba Joseph Omog, amesema kitendo cha Yanga kubadilisha kocha kimempa uhakika wa ubingwa msimu huu kwani awali alikuwa akimhofia sana Hans van der Pluijm. Omog amesema, japo hamjui kocha mpya George...
MKUDE AONEKANA MAZOEZINI YANGA!!!
0

MKUDE AONEKANA MAZOEZINI YANGA!!!

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Hofu ya Nahodha wa Simba Jonas Mkude,kutua Yanga msimu ujao imezidi kutanda baada ya mchezaji huyo kuonekana kwenye mazoezi ya mabingwa hao kwenye uwanja wa Gymkhana, akiwa na winga Simon Msuva kwenye mazoezi ya jana jioni....
YANGA YAINGIA MKATABA NA SERIKALI
0

YANGA YAINGIA MKATABA NA SERIKALI

December 2nd, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Yanga na Serikali wameingia mkataba kwa ajili ya klabu hiyo kuutumia Uwanja Mkuu wa Taifa na ule wa Uhuru kwa ajili ya michezo yao ya Ligi Kuu Bara na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mkataba huo kati ya serikali...
DONEDEAL: Ngasa kasaini Mbeya City
0

DONEDEAL: Ngasa kasaini Mbeya City

December 1st, 2016 | by mwana kabumbu
Picha inayo-trend kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni ya Mrisho Ngasa na afisa habari wa Mbeya City Dismas Ten ambayo inaashiria tayari nyota huyo wa zamani wa Yanga ameshakamilisha deal na ‘wagonga nyundo wa Mbeya’ Mbeya...
Kiungo wa Zesco atua Yanga
0

Kiungo wa Zesco atua Yanga

November 29th, 2016 | by mwana kabumbu
Kiungo wa Zesco United Justine Zulu tayari ametua nchini akitokea Zambia kwa ajili ya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Yanga. Kwa namna yoyote, hayo ni mapendekezo ya kocha George Lwandamina ambaye tayari ameanza majukumu ya...
LWANDAMINA RASMI YANGA, PLUIJM NAYE APEWA MAJUKUMU YAKE
0

LWANDAMINA RASMI YANGA, PLUIJM NAYE APEWA MAJUKUMU YAKE

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Geroge Lwandamina ametambulishwa rasmi kuwa kocha mpya wa Yanga SC akirithi nafasi ya kocha wa zamani wa klabu hiyo Hans van der Pluijm ambaye amepewa majukumu mapya ya kuwa Mkurugenzi wa Ufundi ndani ya klabu hiyo inayotetea...
SIMBA WATAKA WAAMUZI WATOKE NJE MECHI YAO DHIDI YA YANGA, TFF YAWAPIGA BITI
0

SIMBA WATAKA WAAMUZI WATOKE NJE MECHI YAO DHIDI YA YANGA, TFF YAWAPIGA BITI

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Uongozi wa klabu ya Simba umesema, hauko tayari timu yao kucheza dhidi ya Yanga kama mchezo wao utachezeshwa na waamuzi wa ndani (Tanzania). Afisa habari wa Simba Haji Manara amesema, Simba ipo tayari kukatwa mapato ya mchezo huo...