breaking news

Kitaifa

MZUNGU WA YANGA AELEZA SABABU YA KUPIGWA CHINI
0

MZUNGU WA YANGA AELEZA SABABU YA KUPIGWA CHINI

January 5th, 2017 | by mwana kabumbu
Aliyekuwa mtendaji mkuu wa kampuni ya Yanga Yetu, ambayo iliingia mkataba wa miaka kumi ya kuikodisha na kutumia nembo ya  Yanga, Jerome Dufourg ameelezea sababu za kutimuliwa. Dufourg aliyetua nchini mwezi Novemba mwaka jana...
LWANDAMINA: YANGA WOTE MAFUNDI
0

LWANDAMINA: YANGA WOTE MAFUNDI

January 5th, 2017 | by mwana kabumbu
Kocha wa Yanga George Lwandamina amesema anaimani na wabeki waliopo licha ya kuondoka kwa Vicenti Bossou raia wa Togo. Lwandamina amesema  Yanga ni timu ambayo imekamilika kila idara hivyo mabeki waliopo kwenye nafasi...
YANGA WAKOMAA NA POINTI ZA AFRICAN LYON
0

YANGA WAKOMAA NA POINTI ZA AFRICAN LYON

January 4th, 2017 | by mwana kabumbu
UONGOZI wa Yanga umetilia mkazo rufaa yake dhidi ya African Lyon kumchezesha mchezaji wa Mbao FC, Venence Ludovick kuhakikisha inapewa pointi. Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedi aliiambia Bin Zubeiry Sports – Online jana...
MAMBO MATANO YALIYOJITOKEZA BAADA YA MECHI YA YANGA NA LYON
0

MAMBO MATANO YALIYOJITOKEZA BAADA YA MECHI YA YANGA NA LYON

December 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Sare ya bao 1-1 iliyopata Yanga dhidi ya African Lyon, jana ilikuwa chungu na kusababisha hali ya sintofahamu baada ya baadhi ya mashabiki wa Yanga kukasirishwa na matokeo hayo na kuzua varangati kiasi kwa wachezaji wa timu hiyo....
YANGA YAVUNA FAIDA YA MGOMO, YAVUTWA SHATI NA LYON
0

YANGA YAVUNA FAIDA YA MGOMO, YAVUTWA SHATI NA LYON

December 24th, 2016 | by mwana kabumbu
Yanga imevuna faida ya mgomo baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaifanya Yanga iendelee...
Wachezaji wa kigeni Simba, Yanga na Azam watiwa mbaroni
0

Wachezaji wa kigeni Simba, Yanga na Azam watiwa mbaroni

December 21st, 2016 | by mwana kabumbu
Idara ya Uhamiaji Tanzania leo imewakamata viongozi wa klabu tatu kubwa za Azam, Simba na Yanga kwa makosa ya kuajiri na kuwatumikisha wachezaji wageni bila kuwa na vibali. Habari ambazo Goal imezipata kutoka Shirikisho...
WAARABU WA OMAN WAMKOMALIA NGASSA BAADA YA KUSAJILI MBEYA CITY
0

WAARABU WA OMAN WAMKOMALIA NGASSA BAADA YA KUSAJILI MBEYA CITY

December 20th, 2016 | by mwana kabumbu
Pamoja na kumalizana na Mbeya City, bado hakijaeleweka kwa kiungo mshambuliaji, Mrisho Ngassa ambaye juzi Jumamosi alilazimika kukaa jukwaani kushuhudia timu yake mpya ikigawana pointi na timu yake ya zamani, Kagera Sugar kwenye...
UONGOZI WATOA NENO BAADA YA WACHEZAJI YANGA KUGOMEA MAZOEZI KISA MSHAHARA
0

UONGOZI WATOA NENO BAADA YA WACHEZAJI YANGA KUGOMEA MAZOEZI KISA MSHAHARA

December 20th, 2016 | by mwana kabumbu
Uongozi wa Yanga umesema unalifanyia kazi suala la wachezaji wao kugoma kufanya mazoezi kwa madai ya kudai mishahara yao. Wachezaji wa Yanga, jana waligoma kufanya mazoezi kwa madai ya kutolipwa mshahara wao wa Novemba, mwaka...
MSUVA ON FIRE, YANGA IKIITENGUA JKT RUVU NA KUKAA KILELENI
0

MSUVA ON FIRE, YANGA IKIITENGUA JKT RUVU NA KUKAA KILELENI

December 18th, 2016 | by mwana kabumbu
Yanga imepaa hadi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara mara baada ya ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya JKT Ruvu  katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili uliochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Ushindi dhidi ya...
Timu 5 zilizotumia pesa nyingi usajili dirisha Dogo
0

Timu 5 zilizotumia pesa nyingi usajili dirisha Dogo

December 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Timu tatu za juu zinazo fukuzia ubingwa Simba, Yanga na Azam ndizo zinazoonekana kutumia kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao kabla ya duru la pili kuanza Jumamosi ya Desemba 17. Matajiri wa Azam ndiyo...