breaking news

Fikra

YANGA WANAPO NIKUMBUSHA ULE MSEMO WA KISWAHILI TENDA MEMA NENDA ZAKO.
0

YANGA WANAPO NIKUMBUSHA ULE MSEMO WA KISWAHILI TENDA MEMA NENDA ZAKO.

February 22nd, 2017 | by mwana kabumbu
Na Aidan Mlimila Wakati nikifuatilia mechi ya fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika mapema mwaka huu kati ya timu ya Taifa ya Cameroon dhidi ya Timu ya Taifa ya Misri, mechi iliyoisha kwa Cameroon kutwaa kombe hilo kwenye fainali...
MKWASA AREJEA YANGA, SASA NI KAMA KATIBU MKUU
0

MKWASA AREJEA YANGA, SASA NI KAMA KATIBU MKUU

February 1st, 2017 | by mwana kabumbu
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya kandanda Tanzania bara, klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam, imemteua nahondha na kocha wake wa zamani, Charles Boniface Mkwasa maarufu kama “Master” kuwa katibu mkuu mpya wa klabu hiyo kwa...
BOCCO: TUTAGAWA DOZI HATA KWA YANGA
0

BOCCO: TUTAGAWA DOZI HATA KWA YANGA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Baada ya kuitungua Simba, mshambuliaji na nahodha wa Azam, John Bocco, ametangaza kuwa kila mchezo wao ni fainali ambapo wataendelea kugawa dozi hata wakikutana na Yanga. Bocco aliibuka shujaa kwa upande wa timu yake baada ya...
SERIKALI YAUFUNGUA UWANJA WA TAIFA, SIMBA NA AZAM KUKIPIGA HAPO
0

SERIKALI YAUFUNGUA UWANJA WA TAIFA, SIMBA NA AZAM KUKIPIGA HAPO

January 27th, 2017 | by mwana kabumbu
Kufuatia uharibifu uliotokea kwenye Uwanja wa Taifa, Oktoba mosi, 2016 wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Yanga, kisha Serikali ya Tanzania kutangaza kuufungia uwanja huo, hatimaye sasa umefunguliwa na ruksa...
no-cover
0

January 22nd, 2017 | by mwana kabumbu
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), wameanza vyema kulitetea taji lao kwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ashanti United. Mchezo  huo  uliochezwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam...
KOCHA MRENO AIKACHA AFRICAN LYON
0

KOCHA MRENO AIKACHA AFRICAN LYON

January 19th, 2017 | by mwana kabumbu
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya African Lyon Bernado Tavares na msaidizi wake Joaquin Valinho juzi usiku wamesaini rasmi mkataba wa kuifundisha timu ya ligi kuu katika Visiwa vya Maldives ya New Radiant Sports Club. Akizungumza...