breaking news

Kitaifa

TFF YAZINDUA MKAKATI KUELEKEA OLIMPIKI 2020 TOKYO
0

TFF YAZINDUA MKAKATI KUELEKEA OLIMPIKI 2020 TOKYO

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Shirikisho la soka nchini Tanzania limezindua mpango mkakati utakaoiwezesha Tanzania kupeleka timu ya mpira wa miguu kushiriki michuano ya Olimpiki 2020 inayotarajiwa kufanyika katika jiji la Tokyo nchini Japani. Mgeni rasmi...
WARAKA WA MANARA KWA TFF JUU YA MABADILIKO YA RATIBA
0

WARAKA WA MANARA KWA TFF JUU YA MABADILIKO YA RATIBA

January 24th, 2017 | by mwana kabumbu
Na Haji S Manara Kuna kurogwa na kujiroga, kuna kufa na kujiua pia kulia na kuliliwa. Sisi Watanzania hakika tupo katika fungu la pili, fungu la kukosa , fungu mzigo, tunajiroga, tunajiua na tunaliliwa. Hakika hatujui twataka...
JERRY MURO AWAOMBA RADHI TFF
0

JERRY MURO AWAOMBA RADHI TFF

January 6th, 2017 | by mwana kabumbu
Hatimaye msemaji wa Yanga Jerry Muro ameinua mikono juu na kuiangukia TFF kwa kuandika barua ya kuomba kupunguziwa adhabu ya kufungiwa kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa mwaka mmoja. Adhabu ya Muro ilianza Julai 7, 2016...
NITAIPELEKA ‘STARS’ AFCON 2019
0

NITAIPELEKA ‘STARS’ AFCON 2019

January 4th, 2017 | by mwana kabumbu
Siku moja baada ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, kumtangaza kocha wa Mtibwa Sugar Salum Mayanga, kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kocha huyo amesema yupo tayari kwa kazi hiyo na kuwataka...
TFF YAMTEUA MAYANGA, WAMTEMA MKWASA
0

TFF YAMTEUA MAYANGA, WAMTEMA MKWASA

January 4th, 2017 | by mwana kabumbu
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtangaza Salum Mayanga kuwa kocha mpya wa muda wa timu ya taifa, Taifa Stars. Malinzi amesema leo kwamba hiyo inafuatia aliyekuwa kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface...
SAKATA LA KESSY: TFF YAAMUA YANGA IILIPE SIMBA MIL. 50
0

SAKATA LA KESSY: TFF YAAMUA YANGA IILIPE SIMBA MIL. 50

December 9th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya kupitia mawasilisho ya pande zote kwa njia ya mahojiano, na vielelezo Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji imebaini mambo yafuatayo ambayo yanapaswa kuchukuliwa hatua za haraka: 1. Mchezaji Hassan Hamis...
MAOFISA WA TFF WAPANDISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
0

MAOFISA WA TFF WAPANDISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA

November 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Juma Matandika na Martine Chache, walipandishwa kwenye Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana Jumatano wakituhumiwa kuomba rushwa ya shilingi milioni 25 kwa timu ya soka ya...
TFF YATOA MSIMAMO WAKE JUU YANGA KUKODISHWA
0

TFF YATOA MSIMAMO WAKE JUU YANGA KUKODISHWA

October 13th, 2016 | by mwana kabumbu
Siku chache baada ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kutangaza kutotambua mabadiliko ya klabu ya Yanga kukodishwa na kampuni ya Yanga Yetu Limited, shirikisho la soka nchini TFF limetangaza msimamo wake juu ya mabadilko...
TEGETE AWAZIDI AKILI YANGA, SASA KULIPWA MIL 10
0

TEGETE AWAZIDI AKILI YANGA, SASA KULIPWA MIL 10

October 9th, 2016 | by mwana kabumbu
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete ameipiga kumbo klabu yake hiyo ya zamani na kutakiwa imlipe kitita chake cha Sh milioni 10. Taarifa kutoka ndani ya TFF, zimesema Tegete ambaye sasa anakipiga Mwadui inatakiwa alipwe...
TFF YAMFUNGULIA MASHTAKA JERRY MURO, MWENYEWE APINGA
0

TFF YAMFUNGULIA MASHTAKA JERRY MURO, MWENYEWE APINGA

July 1st, 2016 | by mwana kabumbu
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemfungulia mashitaka Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro. TFF imeandika barua kumtaka Muro ahudhurie kikao cha kamati ya maadili ili kujitetea na kimepangwa kufanyika...