breaking news

Kabumbu Show

CHIPUKIZI WA TAIFA STARS ASJILIWA URENO
0

CHIPUKIZI WA TAIFA STARS ASJILIWA URENO

January 26th, 2017 | by mwana kabumbu
Mollel akiwa katika mazoezi ya Taifa Stars alipoitwa katika kikosi hicho na kocha Boniface Mkwasa mwaka juzi. Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Orgeness Mollel  amejiunga na klabu ya Famalicao ya nchini Ureno kwa...
CREDO MWAIPOPO: TAIFA STARS BADO SANA KWENDA AFCON
0

CREDO MWAIPOPO: TAIFA STARS BADO SANA KWENDA AFCON

January 24th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo wa zamani wa Yanga Credo Mwaipopo amesema haoni kama timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itafuzu kucheza michuano ya AFCON siku za hivi karibuni kwa kutaja sababu tatu ambazo anaamini ndio kikwazo kikubwa kwa soka...
IHENACHO WA MAN CITY AIZAMISHA STARS
0

IHENACHO WA MAN CITY AIZAMISHA STARS

September 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Goli pekee la dakika ya 76 la mshambuliaji wa Manchester City Kelechi Iheanacho limeendeleza rekodi ya Stars kushindwa kupata ushindi mbele ya Nigeria ambapo kwa mujibu wa rekodi, Stars haijafanikiwa kupata ushindi ushindi mbele...
KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOITWA NA MKWASA KUWAVAA NIGERIA HIKI HAPA
0

KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOITWA NA MKWASA KUWAVAA NIGERIA HIKI HAPA

August 24th, 2016 | by mwana kabumbu
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji kikiwa na mabadiliko kadhaa ambacho atakiandaa maalumu kwa mchezo hidi ya Nigeria. Kikosi hicho kina wachezaji 20 ambao atasafiri nao kwenda...
SALAH 2-0 STARS, SAMATTA AKIPIGA ‘PENATI YA MWENDO KASI’
0

SALAH 2-0 STARS, SAMATTA AKIPIGA ‘PENATI YA MWENDO KASI’

June 5th, 2016 | by mwana kabumbu
Misri imekata tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Gabon, baada ya kuwafunga wenyeji, Tanzania mabao 2-0 jioni ya jana uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yanawafanya Misri wamalize...
NIGERIA YATUPWA NJE AFCON, TANZANIA ITAPITA TUNDU LA SINDANO?
0

NIGERIA YATUPWA NJE AFCON, TANZANIA ITAPITA TUNDU LA SINDANO?

March 30th, 2016 | by mwana kabumbu
Nigeria wameshindwa kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika (Africa Cup of Nations) mwaka 2017 nchini Gabon baada ya kuchezea kichapo cha bao 1-0 mbele ya Misri kwenye mchezo wa kundi G mechi iliyopigwa Jumanne usiku. Wakiwa...
Chad Yakosa Nauli Kuja Dar, Yajitoa AFCON, Mambo Magumu kwa Stars
0

Chad Yakosa Nauli Kuja Dar, Yajitoa AFCON, Mambo Magumu kwa Stars

March 27th, 2016 | by mwana kabumbu
Chad imejitoa kwenye michuano ya kuwania kucheza Kombe la Afcon wakiwasilisha barua yao CAF leo tarehe 27, March. Kwa uamuzi huo, maana yake mechi kati ya Chad na Taifa Stars iliyokuwa ichezwe kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini...
Kapteni Samatta Aibeba Stars Ugenini, Mkwasa Asema Mechi ilikua Ngumu
0

Kapteni Samatta Aibeba Stars Ugenini, Mkwasa Asema Mechi ilikua Ngumu

March 23rd, 2016 | by mwana kabumbu
  Mbwana Samatta akivaa kitambaa cha unahodha kwa mara ya kwanza, amekiongoza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kupata ushindi wa goli 1-0 ugenini dhidi ya Chad kwenye mchezo wa Group G kuwania nafasi ya...
Stars Tayari Kuivaa Chad J’tano
0

Stars Tayari Kuivaa Chad J’tano

March 21st, 2016 | by mwana kabumbu
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo imefanya mazoezi katika uwanja wa Omnisports Idriss Mahamat Ouya ulipo katika jiji la D’jamena ikiwa ni maandalizi ya mchezo...