breaking news

Kitaifa

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3
0

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3

February 4th, 2017 | by mwana kabumbu
Klabu ya Simba leo wameiadabisha Majimaji ya Songea Bao 3-0  huku nyota ambao walikuwa hawapewi nafasi ya kuanza mara kwa mara katika kikosi hicho wakiongoza mauaji. Mshambuliaji Ibrahim Ajib migomba ndie alikuwa sa kwanza...
BOCCO: TUTAGAWA DOZI HATA KWA YANGA
0

BOCCO: TUTAGAWA DOZI HATA KWA YANGA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Baada ya kuitungua Simba, mshambuliaji na nahodha wa Azam, John Bocco, ametangaza kuwa kila mchezo wao ni fainali ambapo wataendelea kugawa dozi hata wakikutana na Yanga. Bocco aliibuka shujaa kwa upande wa timu yake baada ya...
SIMBA YAWA MDEBWEDO KWA AZAM, YACHEZEA KICHAPO MARA YA PILI NDANI YA MWEZI MMOJA
0

SIMBA YAWA MDEBWEDO KWA AZAM, YACHEZEA KICHAPO MARA YA PILI NDANI YA MWEZI MMOJA

January 28th, 2017 | by mwana kabumbu
Goli pekee lililowekwa kimiani na nahodha John Raphael Bocco ‘Adebayor’ limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es...
SERIKALI YAUFUNGUA UWANJA WA TAIFA, SIMBA NA AZAM KUKIPIGA HAPO
0

SERIKALI YAUFUNGUA UWANJA WA TAIFA, SIMBA NA AZAM KUKIPIGA HAPO

January 27th, 2017 | by mwana kabumbu
Kufuatia uharibifu uliotokea kwenye Uwanja wa Taifa, Oktoba mosi, 2016 wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Yanga, kisha Serikali ya Tanzania kutangaza kuufungia uwanja huo, hatimaye sasa umefunguliwa na ruksa...
MO AREJEA MAZOEZINI, AONGEZA MATUMAINI MSIMBAZI
0

MO AREJEA MAZOEZINI, AONGEZA MATUMAINI MSIMBAZI

January 26th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo Mohammed Ibrahim amerejesha matumaini ya Wanasimba. Ibahim maarufu kama Mo anaonekana kuwa vizuri katika siku zote tatu ambazo Simba wamefanya mazoezi yeye akiwa ndani. Maana yake, suala la kucheza au la katika mechi ya...
MKUDE ALIO NA MITANDAO INAYO MGOMBANISHA NA SIMBA
0

MKUDE ALIO NA MITANDAO INAYO MGOMBANISHA NA SIMBA

January 24th, 2017 | by mwana kabumbu
  Nahodha wa Simba, Jonas Mkude amelalamika kulishwa maneno akisema kuna mtandao unaomsakama akionyesha hofu huenda kuna watu wanataka kuvivuruga Simba.   Katika taarifa yake iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya...