breaking news

kimataifa

ABOUTRIKA AORODHESHWA KAMA GAIDI MISRI
0

ABOUTRIKA AORODHESHWA KAMA GAIDI MISRI

January 18th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Al Ahly na Misri, Mohamed Aboutrika ameongezwa kwenye orodha ya magaidi nchini Misri kufuatia kutuhumiwa kuwa na uhusiano na kikundi cha Muslim Brotherhood kilichopigwa marufuku....
SALAH 2-0 STARS, SAMATTA AKIPIGA ‘PENATI YA MWENDO KASI’
0

SALAH 2-0 STARS, SAMATTA AKIPIGA ‘PENATI YA MWENDO KASI’

June 5th, 2016 | by mwana kabumbu
MisriĀ imekata tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Gabon, baada ya kuwafunga wenyeji, Tanzania mabao 2-0 jioni ya jana uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yanawafanya Misri wamalize...
NIGERIA YATUPWA NJE AFCON, TANZANIA ITAPITA TUNDU LA SINDANO?
0

NIGERIA YATUPWA NJE AFCON, TANZANIA ITAPITA TUNDU LA SINDANO?

March 30th, 2016 | by mwana kabumbu
Nigeria wameshindwa kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika (Africa Cup of Nations) mwaka 2017 nchini Gabon baada ya kuchezea kichapo cha bao 1-0 mbele ya Misri kwenye mchezo wa kundi G mechi iliyopigwa Jumanne usiku. Wakiwa...
Haruna Niyonzima kuwakosa Al Ahly
0

Haruna Niyonzima kuwakosa Al Ahly

March 21st, 2016 | by mwana kabumbu
Yanga watamkosa kiungo wao mchezeshaji Haruna Niyonzima kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utaochezwa tarehe 9 mwezi ujao jijini Dar. Kiungo huyo raia wa Rwanda, ataukosa mchezo huo wa wa raundi...