breaking news

Kagera Sugar

GOLIKIPA WA KAGERA SUGAR, DAVID BURHANI AMEFARIKI DUNIA
0

GOLIKIPA WA KAGERA SUGAR, DAVID BURHANI AMEFARIKI DUNIA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Kipa wa Kagera Sugar, David Burhani amefariki dunia. Burhani aliyewahi kuichezea Mbeya City kwa mafanikio, amefia katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Taarifa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa Kagera Sugar zimeeleza marehemu...
WAARABU WA OMAN WAMKOMALIA NGASSA BAADA YA KUSAJILI MBEYA CITY
0

WAARABU WA OMAN WAMKOMALIA NGASSA BAADA YA KUSAJILI MBEYA CITY

December 20th, 2016 | by mwana kabumbu
Pamoja na kumalizana na Mbeya City, bado hakijaeleweka kwa kiungo mshambuliaji, Mrisho Ngassa ambaye juzi Jumamosi alilazimika kukaa jukwaani kushuhudia timu yake mpya ikigawana pointi na timu yake ya zamani, Kagera Sugar kwenye...
Kagera Sugar imemnasa Juma Kaseja
0

Kagera Sugar imemnasa Juma Kaseja

December 1st, 2016 | by mwana kabumbu
Uongozi wa klabu ya Kagera Sugar umethibitisha kumnasa Juma Kaseja golikipa wa zamani wa Simba, Yanga na timu ya taifa Taifa Stars. Manager wa Kagera Sugar Mohamed Hussein amesema tayari wameshamnasa Kaseja huku bado wakiwa...
DONEDEAL: Ngasa kasaini Mbeya City
0

DONEDEAL: Ngasa kasaini Mbeya City

December 1st, 2016 | by mwana kabumbu
Picha inayo-trend kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni ya Mrisho Ngasa na afisa habari wa Mbeya City Dismas Ten ambayo inaashiria tayari nyota huyo wa zamani wa Yanga ameshakamilisha deal na ‘wagonga nyundo wa Mbeya’ Mbeya...
YANGA YACHEZEA KICHAPO MBEYA, YALAMBWA 2-1
0

YANGA YACHEZEA KICHAPO MBEYA, YALAMBWA 2-1

November 2nd, 2016 | by mwana kabumbu
Mabingwa watetezi wa ligi ya Vodacom Tanzania Yanga leo imepokea kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mbeya City katika mchezo wa ligi ya Vodacom, uliopigwa uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya. Hicho ni kipigo cha pili msimu huu kwa...
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY, KAMUSOKO NJE NIYONZIMA NDANI
0

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY, KAMUSOKO NJE NIYONZIMA NDANI

November 2nd, 2016 | by mwana kabumbu
Hiki ndiyo kikosi cha Yanga SC leo dhidi ya Mbeya City 1. Deogratius Munishi 2. Hassan Kessy 3. Mwinyi Haji 4. Andrew Vicent 5. Vincent Bossou 6. Mbuyu Twite 7. Simon Msuva 8. Haruna Niyonzima 9. Amissi Tambwe 10. Donald Ngoma...
AZAM, YANGA WATISHIANA ‘NYAU’
0

AZAM, YANGA WATISHIANA ‘NYAU’

October 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Azam FC ambao walikuwa wenyeji wa mchezo huo dhidi ya Yanga umeshuhudiwa ukimalizika bila timu hizo kufungana. Mchezo huo ulikuwa ni wa saba kwa upande tisa kwa upande wa Azam wakati kwa...
SIMBA YAMOTO YAILIPUA MBEYA CITY 2-0
0

SIMBA YAMOTO YAILIPUA MBEYA CITY 2-0

October 13th, 2016 | by mwana kabumbu
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wakiwa jijini Mbeya kwenye Uwanja wa Sokoine kucheza na wenyeji wao Mbeya City wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Simba walionekana kuwa na dalili za kuibuka na...
MAREFA WAMSTAAFISHA JULIO KUFUNDISHA SOKA
0

MAREFA WAMSTAAFISHA JULIO KUFUNDISHA SOKA

October 3rd, 2016 | by mwana kabumbu
Kocha mkuu wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ ametangaza rasmi kuacha kufundisha soka la Tanzania kutokana na maamuzi mabovu katika baadhi ya michezo ligi kuu Tanzania bara. “Kuanzia leo na kuendelea, sitaki tena mpira....
YANGA WAANZA LIGI, WAICHAPA MAJIMAJI 3-0
0

YANGA WAANZA LIGI, WAICHAPA MAJIMAJI 3-0

September 11th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya kubanwa na Ndanda FC kwa kulazimishwa suluhu mkoani Mtwara, Yanga imejipoza kwa Majimaji kwa kuichapa magoli 3-0 kwenye mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Uhuru. Yanga iliandika bao la kwanza dakika ya 35 kipundi cha...