breaking news

Kitaifa

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3
0

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3

February 4th, 2017 | by mwana kabumbu
Klabu ya Simba leo wameiadabisha Majimaji ya Songea Bao 3-0  huku nyota ambao walikuwa hawapewi nafasi ya kuanza mara kwa mara katika kikosi hicho wakiongoza mauaji. Mshambuliaji Ibrahim Ajib migomba ndie alikuwa sa kwanza...
AZAM, MAVUGO WAZICHONGANISHA SIMBA NA YANGA ZENJI
0

AZAM, MAVUGO WAZICHONGANISHA SIMBA NA YANGA ZENJI

January 9th, 2017 | by mwana kabumbu
Hatimaye yametimia, ni nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2017 itakayozikutanisha Simba na Yanga kutafuta mshindi atakaefuzu kwenda fainali ya michuano hiyo inayozidi kushika kasi visiwani Zanzibar. Picha lilivyojitengeneza Magoli...
HANS POPE AMKINGIA KIFUA MAVUGO
0

HANS POPE AMKINGIA KIFUA MAVUGO

November 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe amewaondoa hofu mashabiki wa klabu hiyo juu ya mshambuliaji wao kipenzi Laudit Mavugo na kuwasisitiza kutulia na kusubiri matunda mema kutoka kwa mshambuliaji...
SINEMA YA LAUDIT MAVUGO YACHUKUA SURA MPYA
0

SINEMA YA LAUDIT MAVUGO YACHUKUA SURA MPYA

July 18th, 2016 | by mwana kabumbu
Ile sinema ya mshambuliaji Laudit Mavugo wa Vital’O kuwa anatarajia kutua Simba, imechukua sura mpya. Taarifa zinasema, sasa yuko nchini Ufaransa kwa ajili ya kufanya majaribio katika klabu ya Tours FC ya nchini humo. Rais wa...
SIMBA WAMFATA TENA MAVUGO
0

SIMBA WAMFATA TENA MAVUGO

June 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Wakati wowote kuanzia sasa Simba itamleta nchini straika Laudit Mavugo baada ya kumaliza mkataba wake kuitumikia Vital’O ya Burundi baada ya awali dili hilo kushindikana. Tangu mwaka jana, Simba ilikuwa ikimuwania Mavugo raia...