breaking news

tetesi

EVRA AWATEMA JUVE AREJEA UFARANSA
0

EVRA AWATEMA JUVE AREJEA UFARANSA

January 26th, 2017 | by mwana kabumbu
Beki wa kushoto wa zamani wa Man United, Patrice Evra sasa amerejea kwao Ufaransa. Evra amejiunga na Marseille ya kwao Ufaransa akitokea Juventus ya Italia. Klabu hizo mbili zimekubaliana mkataba wa miezi 18 baada ya Evra kuwa...
IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP
0

IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Goli la dakika za usiku la Zlatan Ibrahimovic limeifanya Manchester United kuambulia angalau pointi moja kwenye uwanja wao wa Old Trafford baada ya sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Liverpool. Liverpool walianza kuongoza kwa goli la...
HAONDIKI! TOURE ASEMA ANATAKA KUBAKI CITY
0

HAONDIKI! TOURE ASEMA ANATAKA KUBAKI CITY

December 21st, 2016 | by mwana kabumbu
Awali ilionekana kama angeondoka lakini Yaya Toure amesema anataka kubaki Manchester City. Toure amesema angependa kuwa msaada wakati Man City inapiga hatua na kuwa kubwa kuliko Man United. Raia huyo wa Ivory Coast amekuwa hana...
MANCHESTER UNITED WAENDELEZA MAHUSIANO MAZURI NA ‘SARE’
0

MANCHESTER UNITED WAENDELEZA MAHUSIANO MAZURI NA ‘SARE’

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Manchester United imeendelea kupata wakati mgumu kwenye michezo yake ya ligi kuu England baada ya kulazimisha sare nyingine ya kufungana goli 1-1 ugenini ilipocheza dhidi ya Everton kwe nye uwanja wa Goodson Park. Zlatan...
UNITED YAINYUKA WESTHAM, ARSENAL ‘WALIPOTEZEA’ KOMBE LA EFL
0

UNITED YAINYUKA WESTHAM, ARSENAL ‘WALIPOTEZEA’ KOMBE LA EFL

December 1st, 2016 | by mwana kabumbu
Ulikuwa ni usiku mzuri kwa upande wa mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial. Mfaransa huyo alionekana kurejea kwenye ubora wake kenye kikosi cha Jose Mourinho na kufanikiwa kutupia bao mbili kambani. Bao la kwanza...
ROONEY AWEKA REKODI UNITED IKIPATA USHINDI EUROPA LEAGUE
0

ROONEY AWEKA REKODI UNITED IKIPATA USHINDI EUROPA LEAGUE

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Wayne Rooney ameweka rekodi ya kufunga magoli mengi ndani ya Manchester United kwenye michuano ya Ulaya wakati wakitoa kichapo cha magoli 4-0 mbele ya Feyenoord na kuendelea kuweka matumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya...
GIROUD ATIA NAZI SUPU YA MANCHESTER UNITED
0

GIROUD ATIA NAZI SUPU YA MANCHESTER UNITED

November 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Giroud amekuwa mchezaji wa kwanza wa Arsenal kufunga bao dhidi ya timu inayofundishwa na Mourinho ndani ya Premier League tangu May 2007 ambapo Gilberto Silva alifunga kwenye sare ya 1-1 dhidi ya Chelsea kwenye uwanja wa...
MANCHESTER UNITED VS ARSENAL DONDOO
0

MANCHESTER UNITED VS ARSENAL DONDOO

November 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Ligi Kuu Uingereza inarudi baada ya wiki mbili za mapumziko Jumamosi Manchester United wakiikaribisha Arsenal Old Trafford Kikosi cha Arsene Wenger hakijashinda mechi ya ligi dhidi ya Manchester United kwa takribani muongo...
MATA AMBEBA MOURINHO, WESTHAM WAITANDIKA CHELSEA EFL CUP
0

MATA AMBEBA MOURINHO, WESTHAM WAITANDIKA CHELSEA EFL CUP

October 27th, 2016 | by mwana kabumbu
Bao pekee la Juan Mata limeipa ushindi Manchester United na kutinga robo fainali baada ya kuitupa Manchester City nje ya Kombe la EFL, kombe ambalo wao ndio walikuwa mabingwa watetezi. Mata alifunga bao hilo baada ya kupata pasi...
ULIMUONA ‘PACHA’ WA ZLATAN ALIVYO VAMIA UWANJA NA KUZUA TAFLANI
0

ULIMUONA ‘PACHA’ WA ZLATAN ALIVYO VAMIA UWANJA NA KUZUA TAFLANI

September 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Mtu mmoja ambaye anafanana na Zlatan Ibrahimovic ameibuka uwanjani kwa kuwalaghai walinzi na kwenda hadi alipokuwa Zlatan mwenyewe wakati akiitumikia timu yake dhidi ya Leicester City. Mtu huyo alifanikiwa kumvaa Zlatan na...