breaking news

Kitaifa

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3
0

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3

February 4th, 2017 | by mwana kabumbu
Klabu ya Simba leo wameiadabisha Majimaji ya Songea Bao 3-0  huku nyota ambao walikuwa hawapewi nafasi ya kuanza mara kwa mara katika kikosi hicho wakiongoza mauaji. Mshambuliaji Ibrahim Ajib migomba ndie alikuwa sa kwanza...
SIMBA YAITAFUNA MAJIMAJI ‘MIGUU YA STULI’
0

SIMBA YAITAFUNA MAJIMAJI ‘MIGUU YA STULI’

September 24th, 2016 | by mwana kabumbu
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuwandatika Wanalizombe Majimaji ya Songea mabao 4-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wakicheza soka safi na la kuvutia Simba...
MAJIMAJI YAPANIA KUIFUNGA SIMBA, YAMREJESHA KALI
0

MAJIMAJI YAPANIA KUIFUNGA SIMBA, YAMREJESHA KALI

September 23rd, 2016 | by mwana kabumbu
Majimaji ya Songea wako jijini Dar es Salaam, tayari kuivaa Simba Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa. Pamoja na kuonekana kusua katika mechi zote za mwanzo, Majimaji wanaonekana wamepania kuifunga Simba. Wamepolekewa vizuri na wadau...
YANGA WAANZA LIGI, WAICHAPA MAJIMAJI 3-0
0

YANGA WAANZA LIGI, WAICHAPA MAJIMAJI 3-0

September 11th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya kubanwa na Ndanda FC kwa kulazimishwa suluhu mkoani Mtwara, Yanga imejipoza kwa Majimaji kwa kuichapa magoli 3-0 kwenye mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Uhuru. Yanga iliandika bao la kwanza dakika ya 35 kipundi cha...
AZAM YAISHUSHA SIMBA, YAIPIGA MAJIMAJI GOLI 2
0

AZAM YAISHUSHA SIMBA, YAIPIGA MAJIMAJI GOLI 2

April 28th, 2016 | by mwana kabumbu
Ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Majimaji FC, umetosha kukirudisha kikosi cha Azam FC, katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi ya Vodacom kwa kufikisha pointi 58 na kuishusha Simba katika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 57....
Wanyonge Wajitutumua Ligi Kuu ya Vodacom
0

Wanyonge Wajitutumua Ligi Kuu ya Vodacom

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo minne kuchezwa kwenye viwanja tofauti vya miji ya Tanzania bara. Mwadui FC ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani Mwadui Complex, Shinyanga imebanwa mbavu na Majimaji ya Songea,...