breaking news

kimataifa

IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP
0

IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Goli la dakika za usiku la Zlatan Ibrahimovic limeifanya Manchester United kuambulia angalau pointi moja kwenye uwanja wao wa Old Trafford baada ya sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Liverpool. Liverpool walianza kuongoza kwa goli la...
WASHINDI TUZO ZA AFRIKA HAWA HAPA
0

WASHINDI TUZO ZA AFRIKA HAWA HAPA

January 6th, 2017 | by mwana kabumbu
Jana usiku kulikuwa na ugawaji wa tuzo za chama cha soka Afrika CAF zilizofanyika mjini Abuja nchini Nigeria tuzo hizi kwa mwaka huu zikimshuhudia nyota wa Leicester City Ryad Mahrez akiibuka kidedea tuzo ya mchezaji bora...
Matip aamua Kuikacha Cameroon
0

Matip aamua Kuikacha Cameroon

December 22nd, 2016 | by mwana kabumbu
Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017. Mchezaji huyo alikuwa miongoni mwa majina 35 yaliyokuwemo kwenye kikosi...
VIDEO: BOURNEMOUTH WAMDUWAZA KLOP
0

VIDEO: BOURNEMOUTH WAMDUWAZA KLOP

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
iverpool inaonekana ndiyo timu ambayo inaweza kuipa presha kubwa Chelsea katika mbio za kuwania ubingwa msimu huu, baada ya kuwashuhudia The Blues wakiibuka na ushindi ugenini dhidi ya Manchester City, walikuwa wanatambua...
DIOUF AMCHANA STEVEN GERRARD
0

DIOUF AMCHANA STEVEN GERRARD

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya Steven Gerrard kutangaza rasmi amechana na maisha soka wachezaji wengi wametumia nafasi mbalimbali kumpa pongezi kwa maisha yake ya soka. Mashabiki wa Liverpool wengi walimshukuru kwa muda mrefu ambao amekua kiongozi wa...
CAPTAIN FANTASTIC ‘STEVEN GERRARD’ ATUNDIKA DARUGA
0

CAPTAIN FANTASTIC ‘STEVEN GERRARD’ ATUNDIKA DARUGA

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya England Steven Gerrard ametundika daruga baada ya miaka 19 ya kusukuma gozi la ng’ombe. Gerrard, 36, aliichezea Liverpool katika mechi 710 na kufanikiwa kushinda mataji nane...
LIVERPOOL YA KLOP  HAISHIKIKI ENGLAND
0

LIVERPOOL YA KLOP HAISHIKIKI ENGLAND

October 23rd, 2016 | by mwana kabumbu
Liverpool wamefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya West Brom, lakini wameshindwa kulinda lango lango lao na kuruhusu bao moja lililowanyima nafasi ya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi. Vijana hao wa Jurgen klopp ambao walitawala...
LIVERPOOL HII YA KLOP!.. KAA CHONJO. YAIFUMUA HULL 5-1
0

LIVERPOOL HII YA KLOP!.. KAA CHONJO. YAIFUMUA HULL 5-1

September 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Liverpool wameshinda kwa kishindo baada ya kuwafunga Hull City mabao 5-1, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Anfield. Magoli ya Liverpool yamefungwa na Adam Lallana dakika ya 17, James Milne dakika ya 30, Sadio Mane dakika ya...
LIVERPOOL NGOMA INOGILEEEEE! COUTINHO, FIRMINO HATARI
0

LIVERPOOL NGOMA INOGILEEEEE! COUTINHO, FIRMINO HATARI

September 21st, 2016 | by mwana kabumbu
Liverpool wameendeleza rekodi yao nzuri kwenye michezo ya hivi karibuni baada ya kuwapa kipigo kizito cha mabao 3-0 Derby wanaocheza Ligi ya Daraja la Kwanza na kufuzu raundi ya nne ya Michuano ya EFL Cup. Ragnar Klavan alianza...
LIVERPOOL WAIADHIBU LEICESTER, YAIANGUSHIA KIPIGO CHA 4-1
0

LIVERPOOL WAIADHIBU LEICESTER, YAIANGUSHIA KIPIGO CHA 4-1

September 11th, 2016 | by mwana kabumbu
Liverpool wamefanya kile kinachoitwa kufuru dhidi ya Mabingwa Watetezi wa Ligi ya England Leicester City baada ya kushinda mabao 4-1. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Roberto Firmino dakika za 13 na 89, Sadio Mane dakika ya 31 na...