breaking news

Kagera Sugar

GOLIKIPA WA KAGERA SUGAR, DAVID BURHANI AMEFARIKI DUNIA
0

GOLIKIPA WA KAGERA SUGAR, DAVID BURHANI AMEFARIKI DUNIA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Kipa wa Kagera Sugar, David Burhani amefariki dunia. Burhani aliyewahi kuichezea Mbeya City kwa mafanikio, amefia katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Taarifa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa Kagera Sugar zimeeleza marehemu...
KAGERA SUGAR YANYAKUA MCHEZAJI TOKA SIMBA
0

KAGERA SUGAR YANYAKUA MCHEZAJI TOKA SIMBA

December 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Mohamed Fakhi amejiunga na klabu ya Kagera Sugar kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kufunguliwa rasmi tarehe 17 Disemba Fakhi anatarajiwa  kuziba nafasi ya Erick Kyarazi ambaye alifungiwa pamoja na...
Kagera Sugar imemnasa Juma Kaseja
0

Kagera Sugar imemnasa Juma Kaseja

December 1st, 2016 | by mwana kabumbu
Uongozi wa klabu ya Kagera Sugar umethibitisha kumnasa Juma Kaseja golikipa wa zamani wa Simba, Yanga na timu ya taifa Taifa Stars. Manager wa Kagera Sugar Mohamed Hussein amesema tayari wameshamnasa Kaseja huku bado wakiwa...
KAGERA HOI TENA, BOCCO APELEKA TABASAMU KWA WAHISPANIA
0

KAGERA HOI TENA, BOCCO APELEKA TABASAMU KWA WAHISPANIA

October 29th, 2016 | by mwana kabumbu
Wakata Miwa wa Kagera Sugar kwa mara nyingine tena leo wameruhusu kipigo cha pili mfululizo katika Uwanja wao wa Kaitaba baada ya kufungwa na Azam FC magoli 3-2 katika muendelezo wa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika...
Yanga yawaponza wachezaji Kagera Sugar, wasimamishwa kwa tuhuma za upangaji matokeo
0

Yanga yawaponza wachezaji Kagera Sugar, wasimamishwa kwa tuhuma za upangaji matokeo

October 28th, 2016 | by mwana kabumbu
Uongozi wa Kagera Sugar umewasimamisha wachezaji wake wawili golikipa Hussein Sharif ‘Casillas’ na beki Erick Kyaruzi kwa tuhuma za kuihujumu timu wakati wa mchezo wa liopoteza kwa kufungwa magoli 6-2. Katibu Mkuu wa klabu...
(VIDEO): SIMBA YAENDELEA KUUNGURUMA VPL, YAINYUKA KAGERA 2-0
0

(VIDEO): SIMBA YAENDELEA KUUNGURUMA VPL, YAINYUKA KAGERA 2-0

October 15th, 2016 | by mwana kabumbu
Magoli ya Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya yameendelea kuiweka Simba kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara ikifikisha jumla ya pointi 23 baada ya kucheza mechi 9 hadi sasa. Mzamiru Yassin alianza kuifungia Simba goli la kwanza...
MBEYA CITY WAKAA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM
0

MBEYA CITY WAKAA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM

September 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Mbeya City imekaa kileleni mwa Ligi kuu Bara baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbao FC katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Kwa ushindi huo, Mbeya City imekaa kileleni ikiwa na pointi saba....
MECKY MEXIME ATIMKA MTIBWA, SASA KUINOA KAGERA SUGAR
0

MECKY MEXIME ATIMKA MTIBWA, SASA KUINOA KAGERA SUGAR

July 8th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mecky Maxime ametua Kagera Sugar. Maxime ambaye alikuwa akiinoa Mtibwa Sugar, sasa amesaini mkataba wa kuinoa Mtibwa Sugar. Meneja wa Kagera Sugar, Mohammed Hussein amesema Maxime ndiye...
KAGERA SUGAR YASAJILI WANNE
0

KAGERA SUGAR YASAJILI WANNE

June 30th, 2016 | by mwana kabumbu
Katika kuhakikisha inafanya vizuri kwenye msimu ujao wa Vodacom Premier League, klabu ya Kagera Sugar ya Bukoba, Kagera imeanza kuimarisha kikosi chake kwa kufanya usajili wa wachezaji. Taarifa rasmi kutoka katika klabu ya Kagera...