breaking news

Kabumbu Show

KABUMBU EP 193: KABLA YA MECHI YA SIMBA NA YANGA, NANI ALIPATIA NANI ALIKOSEA
0

KABUMBU EP 193: KABLA YA MECHI YA SIMBA NA YANGA, NANI ALIPATIA NANI ALIKOSEA

October 3rd, 2016 | by mwana kabumbu
Kuelekea mechi ya Simba na Yanga wachambuzi wetu Ally Mayahi Tembele pamoja na Ibrahim maestro walikutana na Cliford mario Ndimbo kuzungumzia mechi hiyo kubwa kabisa katika ligi kuu ya VODACOM. Kama hukupata muda wa kutazama...
KABUMBU SHOW EP 192: KINACHOWASIBU MAJIMAJI FC
0

KABUMBU SHOW EP 192: KINACHOWASIBU MAJIMAJI FC

September 28th, 2016 | by mwana kabumbu
Wiki iliyoisha tuliangalia mwenendo wa klabu ya Majimaji ya Songea, kuanzia mechi za mwisho za msimu ulioisha wa 2015/2016, kipindi cha usajili na matokeo mabovu inayoendelea kuyapata tangu msimu wa 2016/2017 wa ligi kuu ya...
KABUMBU SHOW EP 191: NDANI YA MBAO FC
0

KABUMBU SHOW EP 191: NDANI YA MBAO FC

September 21st, 2016 | by mwana kabumbu
Katika luninga yako, kwenye chaneli ya EATV kila siku ya Ijumaa saa 2:30 usiku, kiongozi wa msafara Cliford Mario Ndimbo, Ally Mayahi na Ibrahim Maestro wanakua mbele kupambanua kiufundi mambo mbalimbali yanayojili katika ligi...
KABUMBU: WACHEZAJI KUSAJILI TIMU MBILI
0

KABUMBU: WACHEZAJI KUSAJILI TIMU MBILI

August 29th, 2016 | by mwana kabumbu
Hadi katika zama hizi za utandawazi bado kuna wachezaji wanabadili majina ili wasajili timu mbili, na pia bado kuna vilabu vinasajili mchezaji ambaye bado hajamaliza mkataba na timu nyingine… ndio hipo hii. Panel ya kabumbu...
TAZAMA ALLY MAYAHI, IBRAHIM MAESTRO PAMOJA CLIFORD NDIMBO WAKIZUNGUMZIA TIMU ZILIZOPANDA DARAJA
0

TAZAMA ALLY MAYAHI, IBRAHIM MAESTRO PAMOJA CLIFORD NDIMBO WAKIZUNGUMZIA TIMU ZILIZOPANDA DARAJA

July 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Kama hukupata nafasi ya kutizama kipindi cha kabumbu ep 182 katika luninga, hiki hapa. Tazama wachambuzi wa soka mahili kabisa Ally Moshi Mayahi Tembele na Ibrahim Maestro wakijadili pamoja na mtangazaji mahili na nguli wa...
KAMA HUKUTAZAMA KIPINDI CHA KABUMBU EP 180: NAFASI YA WACHEZAJI WA KITANZANIA NJE YA NCHI
0

KAMA HUKUTAZAMA KIPINDI CHA KABUMBU EP 180: NAFASI YA WACHEZAJI WA KITANZANIA NJE YA NCHI

July 2nd, 2016 | by mwana kabumbu
Hivi karibuni kumekua na ongezeko la wachezaji wa kigeni kutoka sehemu mbalimbali duniani katika ligi kuu ya VODACOM  na huku kukiwa na pendekezo la kuongeza idadi ya wachezaji hao kufikia 10 katika timu moja. Kwenye meza kuu...