breaking news

Azam

BOCCO: TUTAGAWA DOZI HATA KWA YANGA
0

BOCCO: TUTAGAWA DOZI HATA KWA YANGA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Baada ya kuitungua Simba, mshambuliaji na nahodha wa Azam, John Bocco, ametangaza kuwa kila mchezo wao ni fainali ambapo wataendelea kugawa dozi hata wakikutana na Yanga. Bocco aliibuka shujaa kwa upande wa timu yake baada ya...
SIMBA YAWA MDEBWEDO KWA AZAM, YACHEZEA KICHAPO MARA YA PILI NDANI YA MWEZI MMOJA
0

SIMBA YAWA MDEBWEDO KWA AZAM, YACHEZEA KICHAPO MARA YA PILI NDANI YA MWEZI MMOJA

January 28th, 2017 | by mwana kabumbu
Goli pekee lililowekwa kimiani na nahodha John Raphael Bocco ‘Adebayor’ limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es...
VIDEO: AZAM YAIBOMOA YANGA MAPINDUZI CUP
0

VIDEO: AZAM YAIBOMOA YANGA MAPINDUZI CUP

January 8th, 2017 | by mwana kabumbu
Azam FC imemaliza kileleni mwa Kundi B Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Yanga mabao 4-0 usiku wa jana kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Matokeo hayo yanaifanya timu ya Azam imalize na pointi saba baada ya kushinda mechi...
JOHN BOCCO HANA KIWANGO CHA KUCHEZA AZAM
0

JOHN BOCCO HANA KIWANGO CHA KUCHEZA AZAM

July 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Kocha mpya wa Azam FC, raia wa Hispania Zeben Hernandez, amemkataa mshambuliaji wa kutumainiwa wa timu hiyo John Bocco, kwa kusema hana kiwango cha kuichezea timu hiyo. Taarifa ambazo Goal, imezipata zimedai uongozi wa timu...
JOHN BOCCO: TUTAPAMBANA BONGO NA AFRIKA HADI KIELEWEKE
0

JOHN BOCCO: TUTAPAMBANA BONGO NA AFRIKA HADI KIELEWEKE

March 24th, 2016 | by mwana kabumbu
Naodha wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, John Bocco ‘Adebayor’, amesema kuwa bado wataendelea kupambana katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) na Kombe la Shirikisho Afrika ili kutimiza malengo...