breaking news

kimataifa

WACHEZAJI CHELSEA WAMJIA JUU DIEGO COSTA
0

WACHEZAJI CHELSEA WAMJIA JUU DIEGO COSTA

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Weekend hii mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Chelsea Diego Costa aliachwa na kocha Conte kwenye mechi dhidi ya Leicester kutokana na kutokuwa na maelewano. Inasemekana kwamba Costa aligomea mazoezi ya viungo ya kocha huyo na...
CONTE ‘AMTUMBUA’ GUARDIOLA, AMPIGA 3-1 NYUMBANI KWAKE
0

CONTE ‘AMTUMBUA’ GUARDIOLA, AMPIGA 3-1 NYUMBANI KWAKE

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Chelsea wamebaki kileleni mwa Ligi Kuu England, baada ya leo kuichapa Manchester City 3-1 na huo kuwa ushindi wao wa 8  mfululizo. Wenyeji Manchester City ndio waliotangulia kupata bao katika dakika ya 44  kufuatia kazi njema...
MATA AMBEBA MOURINHO, WESTHAM WAITANDIKA CHELSEA EFL CUP
0

MATA AMBEBA MOURINHO, WESTHAM WAITANDIKA CHELSEA EFL CUP

October 27th, 2016 | by mwana kabumbu
Bao pekee la Juan Mata limeipa ushindi Manchester United na kutinga robo fainali baada ya kuitupa Manchester City nje ya Kombe la EFL, kombe ambalo wao ndio walikuwa mabingwa watetezi. Mata alifunga bao hilo baada ya kupata pasi...
CHELSEA YAPAPALIA MOTO KWA RANIELI, YAICHAPA LEICESTER 3-0
0

CHELSEA YAPAPALIA MOTO KWA RANIELI, YAICHAPA LEICESTER 3-0

October 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Chelsea wamefufua matumaini ya mbio za kuwania ubingwa wa Premier League baada ya kuwafunga Mabingwa Watetezi Leicester City mabao 3-0, mchezo uliofanyika Stamford Bridge. Magoli ya Chelsea yamefungwa na Diego Costa dakika ya 7...
REKODI ZILIZO VUNJWA BAADA YA ARSENAL KUWALAZA MAPEMA CHELSEA JANA
0

REKODI ZILIZO VUNJWA BAADA YA ARSENAL KUWALAZA MAPEMA CHELSEA JANA

September 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Magoli ya Sanchez, Walcott na Ozil yalitosha kuwalaza mapema Chelsea kutokana na huzuni kubwa iliyokuwa imetawala mioyo yao kwani ni muda mrefu hawakuwa wameonja machungu ya kipigo kutoka kwa wapinzani wao wa mji mmoja. Ukiachana...
FABREGAS AIBEBA CHELSEA AKIMUONYESHA CONTE UWEZO
0

FABREGAS AIBEBA CHELSEA AKIMUONYESHA CONTE UWEZO

September 21st, 2016 | by mwana kabumbu
Mabao mawili ya Cesc Fabregas katika muda wa ziada yaliwapa Chelsea ushindi mnono baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili na kuwafunga Leicester pungufu na kutinga raundi ya nne ya Kombe la EFL. Bao safi la kichwa la Shinji...
CHELSEA CHUPUCHUPU, COSTA AOKOA JAHAZI AKILAZIMISHA SARE YA 2-2
0

CHELSEA CHUPUCHUPU, COSTA AOKOA JAHAZI AKILAZIMISHA SARE YA 2-2

September 11th, 2016 | by mwana kabumbu
Chelsea leo wameponea chupuchupu kupoteza mchezo wao dhidi Swansea baada ya kusawazisha goli dakika za majeruhi, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa kunako Uwanja wa Liberty Stadium. Chelsea walianza kupata goli...
USAJILI ULAYA: SAFARI YA WILSHERE, NASRI, DAVID LUIZ NA WENGINEO
0

USAJILI ULAYA: SAFARI YA WILSHERE, NASRI, DAVID LUIZ NA WENGINEO

September 1st, 2016 | by mwana kabumbu
Kiungo Jack Wilshere amekamilisha uhamisho wa mkopo kwa kujiunga na klabu ya Bournemouth. Wilshere ameilazimu timu yake hiyo mpya kutoa pauni million 2, pia atakuwa akilamba mshahara wa pauni 80,000 kwa wiki kama kawa. Awali...
Video: GOLI LA MAN UNITED, MATOKEO NA MSIMAMO WA EPL BAADA YA MECHI ZA AUGUST 27
0

Video: GOLI LA MAN UNITED, MATOKEO NA MSIMAMO WA EPL BAADA YA MECHI ZA AUGUST 27

August 28th, 2016 | by mwana kabumbu
Goli la dakika za jioni liliihakikishia Manchester United pointi tatu nyingine katika mchezo wao wa tatu tangu kuanza kwa ligi ya EPL na hatimaye kuwa na pointi 9 kwenye kapu lao. Marcus Rashford alikuwa shujaa wa mechi hiyo ya...
CONTE AANZA KWA KICHAPO CHELSEA IKIPIGWA 2-0
0

CONTE AANZA KWA KICHAPO CHELSEA IKIPIGWA 2-0

July 17th, 2016 | by mwana kabumbu
Antonio Conte amekiri kuwa “kufurahia” kiwango cha Chelsea licha ya kupigwa 2-0 dhidi ya Rapid Vienna, lakini amedai kuwa kuna somo la kujifunza. Blues walikubali kichapo katika uwanja wa Allianz Sadion meneja huyo wa...