breaking news

kimataifa

WACHEZAJI CHELSEA WAMJIA JUU DIEGO COSTA
0

WACHEZAJI CHELSEA WAMJIA JUU DIEGO COSTA

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Weekend hii mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Chelsea Diego Costa aliachwa na kocha Conte kwenye mechi dhidi ya Leicester kutokana na kutokuwa na maelewano. Inasemekana kwamba Costa aligomea mazoezi ya viungo ya kocha huyo na...
CONTE ‘AMTUMBUA’ GUARDIOLA, AMPIGA 3-1 NYUMBANI KWAKE
0

CONTE ‘AMTUMBUA’ GUARDIOLA, AMPIGA 3-1 NYUMBANI KWAKE

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Chelsea wamebaki kileleni mwa Ligi Kuu England, baada ya leo kuichapa Manchester City 3-1 na huo kuwa ushindi wao wa 8  mfululizo. Wenyeji Manchester City ndio waliotangulia kupata bao katika dakika ya 44  kufuatia kazi njema...
CONTE AANZA KWA KICHAPO CHELSEA IKIPIGWA 2-0
0

CONTE AANZA KWA KICHAPO CHELSEA IKIPIGWA 2-0

July 17th, 2016 | by mwana kabumbu
Antonio Conte amekiri kuwa “kufurahia” kiwango cha Chelsea licha ya kupigwa 2-0 dhidi ya Rapid Vienna, lakini amedai kuwa kuna somo la kujifunza. Blues walikubali kichapo katika uwanja wa Allianz Sadion meneja huyo wa...
KANTE ATUA CHELSEA
0

KANTE ATUA CHELSEA

July 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Chelsea imemnasa kiungo wa Leicester City mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England, Ngolo Kante akisaini mkataba wa miaka 5 kuichezea klabu hiyo yenye maskani yake Stamford Bridge. “Ilikua ngumu kuikataa Fursa ya...