breaking news

Kitaifa

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3
0

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3

February 4th, 2017 | by mwana kabumbu
Klabu ya Simba leo wameiadabisha Majimaji ya Songea Bao 3-0  huku nyota ambao walikuwa hawapewi nafasi ya kuanza mara kwa mara katika kikosi hicho wakiongoza mauaji. Mshambuliaji Ibrahim Ajib migomba ndie alikuwa sa kwanza...
MAYANJA AELEZEA SABABU ZA KUMUWEKA BENCHI AJIB
0

MAYANJA AELEZEA SABABU ZA KUMUWEKA BENCHI AJIB

October 31st, 2016 | by mwana kabumbu
Kocha Msaidizi wa Simba, Mganda, Jackson Mayanja, amesema mpaka sasa hakuna mchezaji ambaye amejihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo, ndiyo maana staa wao Ibrahim Ajib amejikuta akipoteza nafasi mbele ya...
AJIB AUMIA MAZOEZINI, AZUA HOFU MSIMBAZI
0

AJIB AUMIA MAZOEZINI, AZUA HOFU MSIMBAZI

September 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib amezua hofu kwenye kikosi hicho kama ataweza kucheza mechi ya kesho dhidi ya Azam FC mara baada ya kuumia mguu wa kushoto jana Alhamisi katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja...
AJIB AELEKEA KAIZER CHIEFS
0

AJIB AELEKEA KAIZER CHIEFS

May 11th, 2016 | by mwana kabumbu
Ajib ameondoka nchini kwenda Johannesburg, Afrika Kusini kwa ajili ya majaribio ya kujiunga na klabu ya Kaizer Chiefs Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib ameondoka nchini kwenda Johannesburg, Afrika Kusini kwa ajili ya majaribio...