breaking news

SAKHO ANATUMIA MADAWA, LIVERPOOL YAMFUNGIA MIEZI SITA

April 24th, 2016 | by mwana kabumbu
SAKHO ANATUMIA MADAWA, LIVERPOOL YAMFUNGIA MIEZI SITA
kimataifa
0

Liverpool imetangaza kumfungia kwa miezi sita beki wake tegemeo, Mamadou Sakho kwa madai ya kupatikana na hatia ya kutumia madawa yasiyoruhusiwa michezo.

Sakho ,26, alichukuliwa vipimo baada ya mechi la Kombe la Europa chini ya Manchester United iliyopigwa Machi 17 na kuisha kwa sare ya 2-2 huku Sakho akifunga bao moja.

Imeelezwa aina ya dawa alizotumia baadhi ni zeile ambazo hutumika kupunguza uzito lakini zimekuwa na vimelea vya kuongeza nguvu za ziada.

article-3555136-3377270C00000578-460_964x390

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *