breaking news

 • RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  06
  Jan 2017
  RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile...
 • Matip aamua Kuikacha Cameroon
  22
  Dec 2016
  Matip aamua Kuikacha Cameroon
  Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017....
 • SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  19
  Dec 2016
  SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  Jana Jumapili December 18, Mbwana Samatta aliinusuru klabu yake ya KRC Genk kuchapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani mbele ya Standard Liege mchezo wa ligi kuu...
 • REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  18
  Dec 2016
  REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza...
 • RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  13
  Dec 2016
  RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  Unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon...

Kimataifa

BRENDEN ROGERS NA CELTIC WAVUNJA REKODI YA 100% WIN YA GUARDIOLA
0

BRENDEN ROGERS NA CELTIC WAVUNJA REKODI YA 100% WIN YA GUARDIOLA

September 29th, 2016 | by mwana kabumbu
CELTIC (4-2-3-1): Gordon 7; Lustig 6.5, Toure 6.5, Sviatchenko 7.5, Tierney 7; Brown 6.5, Bitton 6 (Griffiths 84); Forrest 6.5 (Roberts 80), Rogic 7 (Armstrong 57), Sinclair 7.5; Dembele 8 Subs not used: De Vries, Simunovic, Gamboa, McGregor Scorers: Dembele 3, Sterling (OG)... Read more
WALCOTT AIBEBA ARSENAL UEFA
0

WALCOTT AIBEBA ARSENAL UEFA

September 29th, 2016 | by mwana kabumbu
Magoli mawili ya winger wa Arsenal Theo Walcott kwenye mchezo wa Kundi A michuano yha UEFA Champions League dhidi Basel yamemfanya atengeneze rekodi yake kwenye michuano hiyo mikubwa barani Ulaya kwa ngazi ya vilabu. Nyota huyo wa England amefunga goli lake la kichwa kwa mara... Read more
HATIMAYE ALLARDYCE AJIENGUA ENGLAND BAADA YA TUHUMA NZITO
0

HATIMAYE ALLARDYCE AJIENGUA ENGLAND BAADA YA TUHUMA NZITO

September 28th, 2016 | by mwana kabumbu
Zikiwa zimepita siku 67 tangu abebe majukumu ya kuinoa England, Sam Allardyce kwa ridhaa yake ameamua kujuzulu nafasi yake ya umeneja kufuatia shutuma nzito za kuonekana kwenye video akitoa ushauri wa jinsi wa kupindisha sheria za usajili za FA, imethibitishwa. Baada ya uamuzi... Read more
SCHURRLE AWABANIA REAL MADRID
0

SCHURRLE AWABANIA REAL MADRID

September 28th, 2016 | by mwana kabumbu
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Andre Schurrle ndiye alikuwa mwokozi wa Borussia Dortmund na kulinda rekodi yao bora nyumbani dhidi ya Real Madrid baada ya kusawazisha goli dakika ya 87 na kufanya matokeo kuwa 2-2. Katika mchezo huo wa Champions League Kundi F uliopigwa Signal... Read more
LEICESTER WATAMBA UEFA, SLIMANI AENDELEZA UBABE DHIDI YA PORTO
0

LEICESTER WATAMBA UEFA, SLIMANI AENDELEZA UBABE DHIDI YA PORTO

September 28th, 2016 | by mwana kabumbu
Islam Slimani, ambaye ana rekodi nzuri ya kuwafunga Porto tangu akiwa timu yake ya zamani ya Sporting Lisbon, aliifungia Leicester goli pekee kwa kichwa baada ya kuunganisha krosi ya Mualgeria mwezake Riyad Mahrez. Jesus Corona aliyeingia kutokea benchi almanusura Porto lakini... Read more
LIVERPOOL HII YA KLOP!.. KAA CHONJO. YAIFUMUA HULL 5-1
0

LIVERPOOL HII YA KLOP!.. KAA CHONJO. YAIFUMUA HULL 5-1

September 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Liverpool wameshinda kwa kishindo baada ya kuwafunga Hull City mabao 5-1, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Anfield. Magoli ya Liverpool yamefungwa na Adam Lallana dakika ya 17, James Milne dakika ya 30, Sadio Mane dakika ya 36, Philippe Coutinho dakika ya 52 na James Milner... Read more
ULIMUONA ‘PACHA’ WA ZLATAN ALIVYO VAMIA UWANJA NA KUZUA TAFLANI
0

ULIMUONA ‘PACHA’ WA ZLATAN ALIVYO VAMIA UWANJA NA KUZUA TAFLANI

September 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Mtu mmoja ambaye anafanana na Zlatan Ibrahimovic ameibuka uwanjani kwa kuwalaghai walinzi na kwenda hadi alipokuwa Zlatan mwenyewe wakati akiitumikia timu yake dhidi ya Leicester City. Mtu huyo alifanikiwa kumvaa Zlatan na kusababisha watu kuangua kicheko wakiwemo wachezaji wa... Read more
REKODI ZILIZO VUNJWA BAADA YA ARSENAL KUWALAZA MAPEMA CHELSEA JANA
0

REKODI ZILIZO VUNJWA BAADA YA ARSENAL KUWALAZA MAPEMA CHELSEA JANA

September 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Magoli ya Sanchez, Walcott na Ozil yalitosha kuwalaza mapema Chelsea kutokana na huzuni kubwa iliyokuwa imetawala mioyo yao kwani ni muda mrefu hawakuwa wameonja machungu ya kipigo kutoka kwa wapinzani wao wa mji mmoja. Ukiachana na matokeo ya ushindi waliyopata Arsenal dhidi ya... Read more
MAN UTD YAIFUMUA LEICESTER 4-1, POGBA AKING’ARA
0

MAN UTD YAIFUMUA LEICESTER 4-1, POGBA AKING’ARA

September 24th, 2016 | by mwana kabumbu
Manchester United wametoa kipigo cha mbwa mwizi dhidi ya Mabingwa Watetezi wa Premier League Leicester City kwa kwafunga mabao 4-1, mchezo uliofanyika kunako Uwanja wa Old Trafford. Katika mchezo huo ambao nahodha wa United Wayne Rooney alianzia benchi, Man United walipata bao... Read more
UNITED WAONA MWEZI, WAPATA USHINDI WA GOLI 3-1
0

UNITED WAONA MWEZI, WAPATA USHINDI WA GOLI 3-1

September 22nd, 2016 | by mwana kabumbu
Manchester United wamemaliza mkosi wao wa kupoteza mechi tatu mfululizo baada ya kuibuka na ushindi wa ugenini dhidi ya Northampton Town kwenye mchezo wa Kombe la EFL. Kocha wa Man United Jose Mourinho hakutaka kufanya makosa ambayo yangemgharimu na kusababisha kipigo kama... Read more