breaking news

 • RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  06
  Jan 2017
  RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile...
 • Matip aamua Kuikacha Cameroon
  22
  Dec 2016
  Matip aamua Kuikacha Cameroon
  Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017....
 • SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  19
  Dec 2016
  SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  Jana Jumapili December 18, Mbwana Samatta aliinusuru klabu yake ya KRC Genk kuchapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani mbele ya Standard Liege mchezo wa ligi kuu...
 • REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  18
  Dec 2016
  REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza...
 • RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  13
  Dec 2016
  RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  Unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon...

Kimataifa

MATA AMBEBA MOURINHO, WESTHAM WAITANDIKA CHELSEA EFL CUP
0

MATA AMBEBA MOURINHO, WESTHAM WAITANDIKA CHELSEA EFL CUP

October 27th, 2016 | by mwana kabumbu
Bao pekee la Juan Mata limeipa ushindi Manchester United na kutinga robo fainali baada ya kuitupa Manchester City nje ya Kombe la EFL, kombe ambalo wao ndio walikuwa mabingwa watetezi. Mata alifunga bao hilo baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Zlatan Ibrahimovic na kukwamisha... Read more
GRIEZMANN MCHEZAJI BORA HISPANIA, ATLETICO WALAMBA TUZO NYINGI
0

GRIEZMANN MCHEZAJI BORA HISPANIA, ATLETICO WALAMBA TUZO NYINGI

October 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Mshambualiji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa La Liga kwenye hafla maalum iliyofanyika jijini Valencia jana. Griezmann ameshinda tuzo hiyo mbele ya wakali wa Barcelona Lionel Messi na Luis Suarez Mapema Alhamisi ya wiki iliyopita... Read more
ARSENAL YAVUTWA SHATI SIKU YA KUZALIWA KWA WENGER, WAKAA KILELENI
0

ARSENAL YAVUTWA SHATI SIKU YA KUZALIWA KWA WENGER, WAKAA KILELENI

October 23rd, 2016 | by mwana kabumbu
Mfululizo wa ushindi katika mechi sita za Premier League kwa upande wa Arsenal umeishia leo baada ya kulazimishwa suluhu na Middlesbrough katika Uwanja wa Emirates, lakini hata hivyo alama moja waliyopata imetosha kuwapeleka kileleni mwa msimamo wa ligi. Meneja wa Arsenal Arsene... Read more
LIVERPOOL YA KLOP HAISHIKIKI ENGLAND
0

LIVERPOOL YA KLOP HAISHIKIKI ENGLAND

October 23rd, 2016 | by mwana kabumbu
Liverpool wamefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya West Brom, lakini wameshindwa kulinda lango lango lao na kuruhusu bao moja lililowanyima nafasi ya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi. Vijana hao wa Jurgen klopp ambao walitawala mchezo huo walipata bao lao la kwanza kupitia kwa... Read more
CHELSEA YAPAPALIA MOTO KWA RANIELI, YAICHAPA LEICESTER 3-0
0

CHELSEA YAPAPALIA MOTO KWA RANIELI, YAICHAPA LEICESTER 3-0

October 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Chelsea wamefufua matumaini ya mbio za kuwania ubingwa wa Premier League baada ya kuwafunga Mabingwa Watetezi Leicester City mabao 3-0, mchezo uliofanyika Stamford Bridge. Magoli ya Chelsea yamefungwa na Diego Costa dakika ya 7 baada ya kupata pasi kutoka kwa Nemanja Matic.... Read more
ARSENAL KWENYE ‘FORM’ WAINYUKA SWANSEA 3-2
0

ARSENAL KWENYE ‘FORM’ WAINYUKA SWANSEA 3-2

October 15th, 2016 | by mwana kabumbu
Theo Walcott amefunga mabao mawili kati ya matatu na kuipa timu yake ya Arsenal iliyokuwa pungufu mbele ya Swansea chini ya meneja wao mpya Bob Bradley, mchezo uliofanyika Emirates jioni ya leo. Mshambulizi huyo wa Arsenal na timu ya taifa ya England kwa sasa ametimiza... Read more
SAMATTA ATAJWA KUWANIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA AFRIKA
0

SAMATTA ATAJWA KUWANIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA AFRIKA

October 15th, 2016 | by mwana kabumbu
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ametajwa kwenye orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016. Mwaka 2015 Samatta ambaye anakipiga kwenye klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, alishinda tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji... Read more
(VIDEO): BEKI ALIYE MGONGA NEYMAR AKATAA KUOMBA MSAMAHA
0

(VIDEO): BEKI ALIYE MGONGA NEYMAR AKATAA KUOMBA MSAMAHA

October 9th, 2016 | by mwana kabumbu
Beki wa Bolivia, Yasmani Duk anayetuhumiwa kumpiga kiwiko nahodha wa Brazil, Neymar, amegoma kuomba msamaha. Duk amesema kamwe hawezi kufanya hivyo kwa kuwa hakuna kosa alilofanya. Beki huyo mwenye mwili wa kimazoezi hasa, amesisitiza alimgonga Neymar kwa bahati mbaya lakini... Read more
RIGOBERT SONG MAHUTUTI, WANASOKA WAUNGANA KUMUOMBEA
0

RIGOBERT SONG MAHUTUTI, WANASOKA WAUNGANA KUMUOMBEA

October 3rd, 2016 | by mwana kabumbu
Song ambaye amewahi kuvichezea vilabu vya Liverpool na West Ham United amepatwa na hili ikiwa ni ghafla sana. Ikumbukwe pia kuwa huyu ni mjomba wa mchezaji wa zamani wa Arsenal, Barcelona na West Ham United, Alexander Song. Rigobert Song ambaye pia mpaka anapatwa na maradhi... Read more
CITY WAONJA JOTO YA JIWE, SPURS YAMKARIBISHA GUADIOLA BPL
0

CITY WAONJA JOTO YA JIWE, SPURS YAMKARIBISHA GUADIOLA BPL

October 3rd, 2016 | by mwana kabumbu
Man City imeanza kuonja uchungu wa kipigo baada ya kupoteza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu England kwa kupigwa mabao 2-0 na Tottenham. Man City inayonlewa na Kocha Pep Guardiola, ilionyesha soka safi lakini ikashindwa kuzuia kipigo cha mabao 2-0, huku beki wake Aleksandar... Read more