breaking news

 • RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  06
  Jan 2017
  RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile...
 • Matip aamua Kuikacha Cameroon
  22
  Dec 2016
  Matip aamua Kuikacha Cameroon
  Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017....
 • SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  19
  Dec 2016
  SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  Jana Jumapili December 18, Mbwana Samatta aliinusuru klabu yake ya KRC Genk kuchapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani mbele ya Standard Liege mchezo wa ligi kuu...
 • REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  18
  Dec 2016
  REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza...
 • RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  13
  Dec 2016
  RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  Unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon...

Kimataifa

ROONEY AWEKA REKODI UNITED IKIPATA USHINDI EUROPA LEAGUE
0

ROONEY AWEKA REKODI UNITED IKIPATA USHINDI EUROPA LEAGUE

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Wayne Rooney ameweka rekodi ya kufunga magoli mengi ndani ya Manchester United kwenye michuano ya Ulaya wakati wakitoa kichapo cha magoli 4-0 mbele ya Feyenoord na kuendelea kuweka matumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya Europa League. Nahodha huyo wa mashetani wekundu... Read more
CAPTAIN FANTASTIC ‘STEVEN GERRARD’ ATUNDIKA DARUGA
0

CAPTAIN FANTASTIC ‘STEVEN GERRARD’ ATUNDIKA DARUGA

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya England Steven Gerrard ametundika daruga baada ya miaka 19 ya kusukuma gozi la ng’ombe. Gerrard, 36, aliichezea Liverpool katika mechi 710 na kufanikiwa kushinda mataji nane tofauti lakini alijiunga na ligi ya MLS akiitumikia... Read more
Bellerin Ajitia Kitanzi Arsenal
0

Bellerin Ajitia Kitanzi Arsenal

November 22nd, 2016 | by mwana kabumbu
Hector Bellerin amezizika tetesi kuhusu hofu iliyotanda juu ya mustakabali wake Arsenal kwa kutangaza kuwa amesaini mkataba mpya wa muda mrefu kuendelea kubaki Emirates. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 21, beki wa kulia, amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Arsene Wenger... Read more
GIROUD ATIA NAZI SUPU YA MANCHESTER UNITED
0

GIROUD ATIA NAZI SUPU YA MANCHESTER UNITED

November 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Giroud amekuwa mchezaji wa kwanza wa Arsenal kufunga bao dhidi ya timu inayofundishwa na Mourinho ndani ya Premier League tangu May 2007 ambapo Gilberto Silva alifunga kwenye sare ya 1-1 dhidi ya Chelsea kwenye uwanja wa Emirates. Manchester united wamelazimishwa sare ya 1-1... Read more
MANCHESTER UNITED VS ARSENAL DONDOO
0

MANCHESTER UNITED VS ARSENAL DONDOO

November 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Ligi Kuu Uingereza inarudi baada ya wiki mbili za mapumziko Jumamosi Manchester United wakiikaribisha Arsenal Old Trafford Kikosi cha Arsene Wenger hakijashinda mechi ya ligi dhidi ya Manchester United kwa takribani muongo mmoja sasa, ushindi wao wa mwisho ulikuwa Septemba... Read more
MESSI AIPA MATUMAINI ARGENTINA AKIPIGA BONGE LA GOLI
0

MESSI AIPA MATUMAINI ARGENTINA AKIPIGA BONGE LA GOLI

November 16th, 2016 | by mwana kabumbu
Akiwa amerejea kutoka kustaafu soka, nyota huyo wa Barcelona alifunga bao la kwanza dakika ya 10 kwa mkwaju wa mbali wa free Kick. Kikosi cha Argentina chini ya Bauza kilichapwa bao 3-0 na Brazil weekend iliyopita lakini kilikuwa kikiongoza 2-0 baada ya dakika 30 kilikuwa... Read more

UNITED WAISOMA NAMBA, WAPIGWA 2-1 UTURUKI

November 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Fenerbahce: Demirel, Ozbayrakli, Skrtel, Kjaer, Kaldirim, Souza, Potuk, Topal, Lens, Sow, Sen. Subs: Fabiano, Van Persie, Koybasi, Emenike, Neustadter, Ucan, Stoch. Man Utd: de Gea, Darmian, Rojo, Blind, Shaw, Schneiderlin, Ander Herrera, Rashford, Pogba, Martial, Rooney.... Read more
MAN CITY WAIDUWAZA BARCA GUARDIOLA AKILIPIZA KISASI
0

MAN CITY WAIDUWAZA BARCA GUARDIOLA AKILIPIZA KISASI

November 2nd, 2016 | by mwana kabumbu
Manchester City wamebakisha ushindi katika mechi moja ili waweze kufuzu hatua ya 16 bora ya Champions League baada ya kutoka nyuma na kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Barcelona kunako dimba la Etihad.. Man City walijikuta wakieuhus bao baada ya Lionel Messi kuitumia vizuri... Read more
(VIDEO): ARSENAL YATINGA HATUA YA 16, MESUT OZIL NOOMAAA
0

(VIDEO): ARSENAL YATINGA HATUA YA 16, MESUT OZIL NOOMAAA

November 2nd, 2016 | by mwana kabumbu
Mesut Ozil usiku wa kuamkia leo ameifungia Arsenal goli bora na muhimu baada ya timu yake kutoka kuwa nyuma kwa magoli 2-0 mpaka kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Ludogorets Razgrad na kufanikiwa kutinga moja kwa moja hatua ya 16 ya Champions League.... Read more
MANENO YA KWANZA YA PLUIJM BAADA YA KUREJEA
0

MANENO YA KWANZA YA PLUIJM BAADA YA KUREJEA

October 29th, 2016 | by mwana kabumbu
MUDA mfupi baada ya kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu kuinoa timu ya Yanga SC, mkufunzi raia wa Holland, Hans van der Pluijm amesema atafanya kila awezalo pamoja na wachezaji wake kuhakikisha timu hiyo inatetea ubingwa wake wa ligi kuu Tanzania Bara msimu huu. “Nimefurahi... Read more