breaking news

 • RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  06
  Jan 2017
  RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile...
 • Matip aamua Kuikacha Cameroon
  22
  Dec 2016
  Matip aamua Kuikacha Cameroon
  Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017....
 • SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  19
  Dec 2016
  SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  Jana Jumapili December 18, Mbwana Samatta aliinusuru klabu yake ya KRC Genk kuchapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani mbele ya Standard Liege mchezo wa ligi kuu...
 • REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  18
  Dec 2016
  REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza...
 • RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  13
  Dec 2016
  RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  Unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon...

Kimataifa

VIDEO: BOURNEMOUTH WAMDUWAZA KLOP
0

VIDEO: BOURNEMOUTH WAMDUWAZA KLOP

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
iverpool inaonekana ndiyo timu ambayo inaweza kuipa presha kubwa Chelsea katika mbio za kuwania ubingwa msimu huu, baada ya kuwashuhudia The Blues wakiibuka na ushindi ugenini dhidi ya Manchester City, walikuwa wanatambua wanalazimika kupata pointi zote tatu dhidi ya Bournemouth... Read more
MANCHESTER UNITED WAENDELEZA MAHUSIANO MAZURI NA ‘SARE’
0

MANCHESTER UNITED WAENDELEZA MAHUSIANO MAZURI NA ‘SARE’

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Manchester United imeendelea kupata wakati mgumu kwenye michezo yake ya ligi kuu England baada ya kulazimisha sare nyingine ya kufungana goli 1-1 ugenini ilipocheza dhidi ya Everton kwe nye uwanja wa Goodson Park. Zlatan Ibrahimovic aliiweka mbele Man United kwa goli lake la... Read more
CONTE ‘AMTUMBUA’ GUARDIOLA, AMPIGA 3-1 NYUMBANI KWAKE
0

CONTE ‘AMTUMBUA’ GUARDIOLA, AMPIGA 3-1 NYUMBANI KWAKE

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Chelsea wamebaki kileleni mwa Ligi Kuu England, baada ya leo kuichapa Manchester City 3-1 na huo kuwa ushindi wao wa 8  mfululizo. Wenyeji Manchester City ndio waliotangulia kupata bao katika dakika ya 44  kufuatia kazi njema ya Jesus Naivas kusababisha Gary Cahill kujifunga... Read more
SANCHEZ APIGA ‘HATTRICK’ ARSENAL IKISHINDA 5-1 UGENINI KWA WESTHAM
0

SANCHEZ APIGA ‘HATTRICK’ ARSENAL IKISHINDA 5-1 UGENINI KWA WESTHAM

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
West Ham: Randolph, Collins (Arbeloa 7), Reid, Ogbonna, Fernandes (Ayew 63), Noble (Carroll 73), Obiang, Masuaku, Lanzini, Payet, Fletcher Subs not used: Nordtveit, Feghouli, Zaza, Adrian Booked: Reid, Fletcher Goalscorer: Carroll 83 Arsenal: Cech, Gabriel, Mustafi, Koscielny,... Read more
SUAREZ ALIA KUPOTEZA NAFASI ZA WAZI ‘EL CLASICO’ BAADA YA KUTOKA SARE NA MADRID
0

SUAREZ ALIA KUPOTEZA NAFASI ZA WAZI ‘EL CLASICO’ BAADA YA KUTOKA SARE NA MADRID

December 4th, 2016 | by mwana kabumbu
Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amedai kuwa timu yake haina sababu ya kulalamikia sare ya 1-1 dhidi ya Real Madrid katika uwanja wa Camp Nou. Nyota huyo wa kimataifa wa Uruguay alifugua ukurasa wa mabao muda mchache kipindi cha pili katika mechi ya kwanza ya... Read more
UNITED YAINYUKA WESTHAM, ARSENAL ‘WALIPOTEZEA’ KOMBE LA EFL
0

UNITED YAINYUKA WESTHAM, ARSENAL ‘WALIPOTEZEA’ KOMBE LA EFL

December 1st, 2016 | by mwana kabumbu
Ulikuwa ni usiku mzuri kwa upande wa mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial. Mfaransa huyo alionekana kurejea kwenye ubora wake kenye kikosi cha Jose Mourinho na kufanikiwa kutupia bao mbili kambani. Bao la kwanza alitengenezewa na Henrikh Mkhitaryan, Martial alifunga... Read more
Alichouliza mchezaji wa Chapecoense baada ya kunusurika
0

Alichouliza mchezaji wa Chapecoense baada ya kunusurika

November 29th, 2016 | by mwana kabumbu
Habari zilizo-trend sana leo kwenye upande wa soka ni kuanguka kwa ndege iliyokuwa imebeba wachezaji wa Chapecoense. Sasa katika watu walionusurika katika ajali hiyo mbaya iliyotokea kwenye mji wa Medellin ni pamoja na beki wa pembeni Alan Ruschel. Mchezaji huyo mwenye miaka 27... Read more
Ndege iliyobeba wachezaji wa Brazil imeanguka Colombia
0

Ndege iliyobeba wachezaji wa Brazil imeanguka Colombia

November 29th, 2016 | by mwana kabumbu
Habari za kusikitisha katika ulimwegu wa soka ni kwamba, klabu ya Chapecoense ya Brazil imepata ajali baada ya ndege iliyokuwa imebeba wachezaji pamoja na viongozi kuanguka kwenye mji wa Medellin, Colombia. Chapecoense ilikuwa imefika hatua ya fainali ya Copa Sudamericana,... Read more
DIOUF AMCHANA STEVEN GERRARD
0

DIOUF AMCHANA STEVEN GERRARD

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya Steven Gerrard kutangaza rasmi amechana na maisha soka wachezaji wengi wametumia nafasi mbalimbali kumpa pongezi kwa maisha yake ya soka. Mashabiki wa Liverpool wengi walimshukuru kwa muda mrefu ambao amekua kiongozi wa timu yao. Lakini kwa mchezaji mmoja Diouf amesema... Read more
GENK YA SAMATTA YAFUZU HATUA YA MTOANO EUROPA LEAGUE
0

GENK YA SAMATTA YAFUZU HATUA YA MTOANO EUROPA LEAGUE

November 25th, 2016 | by mwana kabumbu
Ushindi wa bao 1-0 iliopata KRC Genk dhidi ya Rapid Wien unaipa nafasi timu hiyo inayotumikiwa na Mbwana Samatta kufuzu moja kwa moja hatua ya mtoano ya Europa League msimu huu. Bao pekee la ushindi katika mchezo huo lilifungwa na mshambuliaji raia wa Ugiriki Nikolaos Karelis... Read more