breaking news

 • RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  06
  Jan 2017
  RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile...
 • Matip aamua Kuikacha Cameroon
  22
  Dec 2016
  Matip aamua Kuikacha Cameroon
  Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017....
 • SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  19
  Dec 2016
  SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  Jana Jumapili December 18, Mbwana Samatta aliinusuru klabu yake ya KRC Genk kuchapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani mbele ya Standard Liege mchezo wa ligi kuu...
 • REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  18
  Dec 2016
  REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza...
 • RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  13
  Dec 2016
  RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  Unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon...

Kimataifa

Liverpool Yaikung’uta Manchester United 2-0
0

Liverpool Yaikung’uta Manchester United 2-0

March 11th, 2016 | by mwana kabumbu
  Klabu ya Liverpool imeanza vyema kampeni za michuano ya Europa League hatua ya 16 bora baada ya kuiangushia kipigo Manchester United cha bao 2-0 kwenye uwanja wa Anfeild jana usiku. Kikosi cha Jurgen Klopp kilitawala mchezo huo kwa asilimia kubwa ya mchezo huo wa... Read more
Chelsea ‘Out’ Ligi ya Mabingwa
0

Chelsea ‘Out’ Ligi ya Mabingwa

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza imeaga rasmi ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuruhusu kufungwa magoli mawili kwa moja na Paris Saint Germain katika mchezo uliomalizika usiku wa kuamkia leo.     Katika mchezo wa awali uliochezwa Uingereza PSG waliondoka na ushindi... Read more
Emmanuel Eboue Arejea England
0

Emmanuel Eboue Arejea England

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Sunderand imeongeza familia yake ya wachezaji baada ya kusainisha mkataba mlinzi wa zamani wa Arsenal Emmanuel Eboue kwa usajili wa muda mfupi hadi mwisho wa msimu. Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Ivory Coast amekuwa akifanya mazoezi na kikosi hicho kwa... Read more
Camp Nou Mpya ni Hatari.
0

Camp Nou Mpya ni Hatari.

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Barcelona, imeamua kurekebisha Uwanja wake wa Camp Nou ambayo utakuwa unaingiza hadi watazamaji 105, 000 ifikapo mwaka 2021. Barcelona italazimika kutumia hadi pauni milioni 465 ili kukamilisha zoezi hilo kupitia wataalamu wa ujenzi wa kampuni ya Nikken Sekkei kutoka... Read more