breaking news

 • RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  06
  Jan 2017
  RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile...
 • Matip aamua Kuikacha Cameroon
  22
  Dec 2016
  Matip aamua Kuikacha Cameroon
  Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017....
 • SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  19
  Dec 2016
  SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  Jana Jumapili December 18, Mbwana Samatta aliinusuru klabu yake ya KRC Genk kuchapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani mbele ya Standard Liege mchezo wa ligi kuu...
 • REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  18
  Dec 2016
  REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza...
 • RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  13
  Dec 2016
  RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  Unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon...

Kimataifa

Matip aamua Kuikacha Cameroon
0

Matip aamua Kuikacha Cameroon

December 22nd, 2016 | by mwana kabumbu
Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017. Mchezaji huyo alikuwa miongoni mwa majina 35 yaliyokuwemo kwenye kikosi cha awali cha wachezaji watakaochujwa kushiriki... Read more
HAONDIKI! TOURE ASEMA ANATAKA KUBAKI CITY
0

HAONDIKI! TOURE ASEMA ANATAKA KUBAKI CITY

December 21st, 2016 | by mwana kabumbu
Awali ilionekana kama angeondoka lakini Yaya Toure amesema anataka kubaki Manchester City. Toure amesema angependa kuwa msaada wakati Man City inapiga hatua na kuwa kubwa kuliko Man United. Raia huyo wa Ivory Coast amekuwa hana uhusiano mzuri na Kocha wake, Pep Guardiola ambaye... Read more
VIDEO: LIONEL MESSI AVURUGA ‘KIJIJI’ LA LIGA
0

VIDEO: LIONEL MESSI AVURUGA ‘KIJIJI’ LA LIGA

December 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Lionel Messi amekosa tuzo ya Ballon d’Or mwaka huu lakini bado haiondoi ubora wake uwanjani. Hiyo imedhihirika wakati Barcelona ikipambana na Espanyol katika mchezo wa Catalan derby ambapo Messi alisimamia show nzima. Wakati Cristiano Ronaldo aki-shine kwenye fainali ya World... Read more
SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
0

SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77

December 19th, 2016 | by mwana kabumbu
Jana Jumapili December 18, Mbwana Samatta aliinusuru klabu yake ya KRC Genk kuchapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani mbele ya Standard Liege mchezo wa ligi kuu ya Ubelgiji (Jupiler Pro League). Samatta aliisawazishia Genk iliyokuwa nyuma kwa magoli 2-1 na kuufanya mchezo... Read more
REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
0

REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA

December 18th, 2016 | by mwana kabumbu
Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza dhidi ya Kashima Antlers kwenye bonge moja la fainali ya FIFA Club World Cup. Wenyeji wa Kashima Antlers walikuwa vizuri... Read more
RIYARD MAHREZ, ATWAA TUZO ZA BBC
0

RIYARD MAHREZ, ATWAA TUZO ZA BBC

December 13th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya kucheza vizuri msimu uliopita na kusaidia club yake kushinda ubingwa wa England bila shaka Mahrez anasthili kushinda tuzo hii ya BBC African Player of the Year. Mchakato huu uliwahusisha wachezaji wengi lakini hadi mwisho walibaki wachezaji kama Aubameyang, Aye, Mane na... Read more
RATIBA EUROPA LIGI HII HAPA
0

RATIBA EUROPA LIGI HII HAPA

December 13th, 2016 | by mwana kabumbu
Ratiba ya hatua ya 32 bora ya Europa League imeshatoka, watanzania wengi wanapenda kujua timu anayocheza Mbwana Samatta KRC Genk imepangwa na timu gani. KRC Genk itakuna na FC Astra Giurgiu ya Romania katika raundi hiyo baada ya Genk kumaliza vinara katika Kundi lake. Mchezo... Read more
RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
0

RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA

December 13th, 2016 | by mwana kabumbu
Unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon d’Or . Ronaldo sasa anaichukua mara ya nne, akiwa alianza mwaka 2008 akiwa Manchester United na alipoingia Madrid,... Read more
RATIBA UEFA YATOKA, ARSENAL NA BAYERN YAZUA GUMZO
0

RATIBA UEFA YATOKA, ARSENAL NA BAYERN YAZUA GUMZO

December 12th, 2016 | by mwana kabumbu
Baada ya hatua ya makundi kukamilika, leo Jumatatu December 12, UEFA wametoa ratiba kwa ajili ya mechi za hatua ya 16 bora ya michuano ya Champions League, huku klabu ya Arsenal wakipangwa na magwiji wa Ujerumani, Bayern Munich. Msimu huu Arsenal wanafanya vizuri katika... Read more
SANCHEZ, OZIL WADAI MSHAHARA KAMA WA POGBA
0

SANCHEZ, OZIL WADAI MSHAHARA KAMA WA POGBA

December 9th, 2016 | by mwana kabumbu
Bado hakijaeleweka mkataba mpya Arsenal kwa Ozil na Alexis, habari zinadai kuwa wawili hao wanataka kulipwa mshahara kama wa Paul Pogba Mesut Ozil na Alexis Sanchez wanataka kulipwa ujira sawa na ule wa nyota wa Manchester United Paul Pogba ili kusaini mkataba... Read more