breaking news

 • RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  06
  Jan 2017
  RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
  Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile...
 • Matip aamua Kuikacha Cameroon
  22
  Dec 2016
  Matip aamua Kuikacha Cameroon
  Cameroonwamethibitisha kuwa beki wa klabu ya Liverpool Joel Matip hatokuwa mmoja ya wachezaji watakaokuwepo kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika 2017....
 • SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  19
  Dec 2016
  SAMATTA AIKOA GENK APIGA GOLI DK 77
  Jana Jumapili December 18, Mbwana Samatta aliinusuru klabu yake ya KRC Genk kuchapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani mbele ya Standard Liege mchezo wa ligi kuu...
 • REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  18
  Dec 2016
  REAL MADRID MABINGWA WA DUNIA
  Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza...
 • RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  13
  Dec 2016
  RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA
  Unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon...

Kimataifa

ABOUTRIKA AORODHESHWA KAMA GAIDI MISRI
0

ABOUTRIKA AORODHESHWA KAMA GAIDI MISRI

January 18th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Al Ahly na Misri, Mohamed Aboutrika ameongezwa kwenye orodha ya magaidi nchini Misri kufuatia kutuhumiwa kuwa na uhusiano na kikundi cha Muslim Brotherhood kilichopigwa marufuku. Aboutrika anatuhumiwa kukifadhili kikundi cha Brotherhood... Read more
WACHEZAJI CHELSEA WAMJIA JUU DIEGO COSTA
0

WACHEZAJI CHELSEA WAMJIA JUU DIEGO COSTA

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Weekend hii mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Chelsea Diego Costa aliachwa na kocha Conte kwenye mechi dhidi ya Leicester kutokana na kutokuwa na maelewano. Inasemekana kwamba Costa aligomea mazoezi ya viungo ya kocha huyo na kutupiana maneno mwisho wa siku kocha akaamua... Read more
IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP
0

IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Goli la dakika za usiku la Zlatan Ibrahimovic limeifanya Manchester United kuambulia angalau pointi moja kwenye uwanja wao wa Old Trafford baada ya sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Liverpool. Liverpool walianza kuongoza kwa goli la mkwaju wa penati uliofungwa na James Milner... Read more
SEVILLA WAVUNJA MWIKO WA MADRID
0

SEVILLA WAVUNJA MWIKO WA MADRID

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Real Madrid wameshidwa kufikisha michezo 40 bila kupoteza baada ya mshambuliaji wa zamani wa Manchester City Stevan Jovetic kuchafua hali ya hewa dakika ya 90 goli ambalo limevuruga rekodi ya Madrid. Ronaldo alianza kuiweka mbele Real Madrid dakika ya 67 kwa mkwaju wa penati... Read more
PAYET AGOMEA MAZOEZI WESTHAM
0

PAYET AGOMEA MAZOEZI WESTHAM

January 14th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo Dimitri Payet amesema anataka kuondoka West Ham United hapo na kuweka msisitizo katika hilo, amegoma kufanya mazoezini. Kocha Mkuu wa West Ham United, Slaven Bilic amesema Payet raia wa Ufaransa aliwaambia kwamba anataka auzwe. Payet anayepokea mshahara wa pauni 125, 000... Read more
WENGER AWAONGEZEA MKATABA WAFARANSA WATATU
0

WENGER AWAONGEZEA MKATABA WAFARANSA WATATU

January 12th, 2017 | by mwana kabumbu
Arsene Wenger ametangaza habari njema kuwa wachezaji hao watatu muhimu wamesaini mkataba mpya huku Ozil na Sanchez wakisuasua  Olivier Giroud, Laurent Koscielny na Francis Coquelin wamesaini mkataba mpya kuendelea kuitumikia Arsenal, klabu hiyo imetangaza. Wafaransa hao... Read more
WASHINDI TUZO ZA FIFA 2016
0

WASHINDI TUZO ZA FIFA 2016

January 10th, 2017 | by mwana kabumbu
HAFLA ya FIFA ya kutunuku Tuzo za FIFA za Ubora Duniani kwa Mwaka 2016 zimefanyika Usiku huu huko Zurich, Uswisi na Cristiano Ronaldo kuibuka ndio Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani. Akitwaa Tuzo hii, Ronaldo, anaechezea Real Madrid na Nchi yake Portugal, aliwashinda kwa... Read more
WASHINDI TUZO ZA AFRIKA HAWA HAPA
0

WASHINDI TUZO ZA AFRIKA HAWA HAPA

January 6th, 2017 | by mwana kabumbu
Jana usiku kulikuwa na ugawaji wa tuzo za chama cha soka Afrika CAF zilizofanyika mjini Abuja nchini Nigeria tuzo hizi kwa mwaka huu zikimshuhudia nyota wa Leicester City Ryad Mahrez akiibuka kidedea tuzo ya mchezaji bora Afrika,huku msanii toka Tanzania Naseeb Abdul almaarufu... Read more
RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
0

RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016

January 6th, 2017 | by mwana kabumbu
Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile tuzo ya wachezaji walio barani Afrika. Sadio Mane wa Liverpool na Senegal, ndiye alikuwa akichuana na Mahrez lakini baada... Read more
TOP 3 WANAOWANIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA AFRICA HII HAPA
0

TOP 3 WANAOWANIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA AFRICA HII HAPA

December 24th, 2016 | by mwana kabumbu
Mshambuliaji raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang, mshambuliaji na winga wa Algeria Riyad Mahrez na winga wa Senegal  Sadio Mané wameingia kwenye orodha ya wachezaji wattau bora wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika. Wachezaji hao watatu wamefika hatua hiyo baada ya kupigiwa... Read more