breaking news

IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP
kimataifa
0

Goli la dakika za usiku la Zlatan Ibrahimovic limeifanya Manchester United kuambulia angalau pointi moja kwenye uwanja wao wa Old Trafford baada ya sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Liverpool.

Liverpool walianza kuongoza kwa goli la mkwaju wa penati uliofungwa na James Milner dakika ya 27 kipindi cha kwanza baada ya Paul Pogba kuunawa mpira kwenye box.

Ibrahimovic akaisawazishia Man United na kuifanya itoke na pointi moja baada ya sare hiyo.

[embedyt]https://www.youtube.com/watch?v=INiUiNvZkV4&width=650&height=400[/embedyt]

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *