breaking news

DIMITRI AIKACHA WESTHAM ATIMKIA UFARANSA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
DIMITRI AIKACHA WESTHAM ATIMKIA UFARANSA
tetesi
0
Kiungo Mfaransa Dimitri Payet amerejea kwao Ufaransa na kujiunga na klabu yake ya zamani ya Marseille.
Marseille imekubali kulipa pauni million 25 kwa West Ham ya England.Awali, kiungo huyo alianza vituko ikiwa ni pamoja na kugoma kufanya mazoezi na wenzake.

 

Hali hiyo ilisababisha mashabiki kuanza kumshambulia ikiwa ni pamoja na kuchana picha zake wakisisitiza kuwa ni msaliti.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *