breaking news

WACHEZAJI YANGA WAKERWA NA MBINU ZA LWANDAMINA
Azam
0

WACHEZAJI YANGA WAKERWA NA MBINU ZA LWANDAMINA

January 10th, 2017 | by mwana kabumbu
Imefahamika kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, ndiyo chanzo cha kipigo cha mabao 4-0 walichokipata katika mchezo dhidi ya Azam FC. Yanga ilikutana na kipigo hicho juzi Jumamosi katika mechi ya mwisho ya makundi...
AZAM, MAVUGO WAZICHONGANISHA SIMBA NA YANGA ZENJI
Azam
0

AZAM, MAVUGO WAZICHONGANISHA SIMBA NA YANGA ZENJI

January 9th, 2017 | by mwana kabumbu
Hatimaye yametimia, ni nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2017 itakayozikutanisha Simba na Yanga kutafuta mshindi atakaefuzu kwenda fainali ya michuano hiyo inayozidi kushika kasi visiwani Zanzibar. Picha lilivyojitengeneza Magoli...
VIDEO: AZAM YAIBOMOA YANGA MAPINDUZI CUP
Azam
0

VIDEO: AZAM YAIBOMOA YANGA MAPINDUZI CUP

January 8th, 2017 | by mwana kabumbu
Azam FC imemaliza kileleni mwa Kundi B Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Yanga mabao 4-0 usiku wa jana kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Matokeo hayo yanaifanya timu ya Azam imalize na pointi saba baada ya kushinda mechi...
JERRY MURO AWAOMBA RADHI TFF
Kitaifa
0

JERRY MURO AWAOMBA RADHI TFF

January 6th, 2017 | by mwana kabumbu
Hatimaye msemaji wa Yanga Jerry Muro ameinua mikono juu na kuiangukia TFF kwa kuandika barua ya kuomba kupunguziwa adhabu ya kufungiwa kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa mwaka mmoja. Adhabu ya Muro ilianza Julai 7, 2016...
WASHINDI TUZO ZA AFRIKA HAWA HAPA
kimataifa
0

WASHINDI TUZO ZA AFRIKA HAWA HAPA

January 6th, 2017 | by mwana kabumbu
Jana usiku kulikuwa na ugawaji wa tuzo za chama cha soka Afrika CAF zilizofanyika mjini Abuja nchini Nigeria tuzo hizi kwa mwaka huu zikimshuhudia nyota wa Leicester City Ryad Mahrez akiibuka kidedea tuzo ya mchezaji bora...
RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016
kimataifa
0

RIYAD MAHREZ MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2016

January 6th, 2017 | by mwana kabumbu
Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile tuzo ya wachezaji walio barani Afrika. Sadio Mane wa Liverpool na...
MZUNGU WA YANGA AELEZA SABABU YA KUPIGWA CHINI
Kitaifa
0

MZUNGU WA YANGA AELEZA SABABU YA KUPIGWA CHINI

January 5th, 2017 | by mwana kabumbu
Aliyekuwa mtendaji mkuu wa kampuni ya Yanga Yetu, ambayo iliingia mkataba wa miaka kumi ya kuikodisha na kutumia nembo ya  Yanga, Jerome Dufourg ameelezea sababu za kutimuliwa. Dufourg aliyetua nchini mwezi Novemba mwaka jana...
AZAM YALAZIMISHWA SARE NA ‘KIBONDE’ WA YANGA
Azam
0

AZAM YALAZIMISHWA SARE NA ‘KIBONDE’ WA YANGA

January 5th, 2017 | by mwana kabumbu
Jamhuri timu iliyofungwa bao 6-0 na Yanga imekuja kivingine kwenye mchezo wake wa pili kwa kuilazimisha suluhu Azam FC kwenye mechi ya mzunguko wa pili wa Kundi A katika mashindano ya Mapinduzi Cup. Licha ya kikosi cha Azam...
LWANDAMINA: YANGA WOTE MAFUNDI
Kitaifa
0

LWANDAMINA: YANGA WOTE MAFUNDI

January 5th, 2017 | by mwana kabumbu
Kocha wa Yanga George Lwandamina amesema anaimani na wabeki waliopo licha ya kuondoka kwa Vicenti Bossou raia wa Togo. Lwandamina amesema  Yanga ni timu ambayo imekamilika kila idara hivyo mabeki waliopo kwenye nafasi...
NITAIPELEKA ‘STARS’ AFCON 2019
Kitaifa
0

NITAIPELEKA ‘STARS’ AFCON 2019

January 4th, 2017 | by mwana kabumbu
Siku moja baada ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, kumtangaza kocha wa Mtibwa Sugar Salum Mayanga, kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kocha huyo amesema yupo tayari kwa kazi hiyo na kuwataka...