breaking news

Chelsea ‘Out’ Ligi ya Mabingwa
kimataifa
0

Chelsea ‘Out’ Ligi ya Mabingwa

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza imeaga rasmi ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuruhusu kufungwa magoli mawili kwa moja na Paris Saint Germain katika mchezo uliomalizika usiku wa kuamkia leo.     Katika mchezo wa...
Emmanuel Eboue Arejea England
kimataifa
0

Emmanuel Eboue Arejea England

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Sunderand imeongeza familia yake ya wachezaji baada ya kusainisha mkataba mlinzi wa zamani wa Arsenal Emmanuel Eboue kwa usajili wa muda mfupi hadi mwisho wa msimu. Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Ivory...
Mohamed Mkopi wa Prisons Ndiye Mchezaji Bora Februari
Kitaifa
0

Mohamed Mkopi wa Prisons Ndiye Mchezaji Bora Februari

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Mshambuliaji Mohamed Mkopi wa timu ya Tanzania Prisons amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Februari kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu wa 2015/2015. Mkopi katika mwezi huo uliokuwa na raundi nne, alicheza mechi zote nne za timu...
Wanyonge Wajitutumua Ligi Kuu ya Vodacom
Coastal Union
0

Wanyonge Wajitutumua Ligi Kuu ya Vodacom

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo minne kuchezwa kwenye viwanja tofauti vya miji ya Tanzania bara. Mwadui FC ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani Mwadui Complex, Shinyanga imebanwa mbavu na Majimaji ya Songea,...
Camp Nou Mpya ni Hatari.
kimataifa
0

Camp Nou Mpya ni Hatari.

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Klabu ya Barcelona, imeamua kurekebisha Uwanja wake wa Camp Nou ambayo utakuwa unaingiza hadi watazamaji 105, 000 ifikapo mwaka 2021. Barcelona italazimika kutumia hadi pauni milioni 465 ili kukamilisha zoezi hilo kupitia...
BEKI NGULI WA AZAM ATAMANI KUCHEZA YANGA
Azam
0

BEKI NGULI WA AZAM ATAMANI KUCHEZA YANGA

March 10th, 2016 | by mwana kabumbu
Beki wa kati wa Azam FC, Said Moradi amesema anaelekea kumaliza mkataba wake na timu hiyo na yupo tayari kujiunga na timu yoyote ya Ligi Kuu Bara lakini chaguo lake la kwanza ni Simba au Yanga. Mkataba wa mwaka mmoja wa Moradi na...