breaking news

SEVILLA WAVUNJA MWIKO WA MADRID
kimataifa
0

SEVILLA WAVUNJA MWIKO WA MADRID

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Real Madrid wameshidwa kufikisha michezo 40 bila kupoteza baada ya mshambuliaji wa zamani wa Manchester City Stevan Jovetic kuchafua hali ya hewa dakika ya 90 goli ambalo limevuruga rekodi ya Madrid. Ronaldo alianza kuiweka mbele...
PAYET AGOMEA MAZOEZI WESTHAM
kimataifa
0

PAYET AGOMEA MAZOEZI WESTHAM

January 14th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo Dimitri Payet amesema anataka kuondoka West Ham United hapo na kuweka msisitizo katika hilo, amegoma kufanya mazoezini. Kocha Mkuu wa West Ham United, Slaven Bilic amesema Payet raia wa Ufaransa aliwaambia kwamba anataka...
WACHEZAJI WALIOTWAA TUZO BINAFSI MAPINDUZI CUP
Azam
0

WACHEZAJI WALIOTWAA TUZO BINAFSI MAPINDUZI CUP

January 14th, 2017 | by mwana kabumbu
Baada ya mashindano ya Mapinduzi kufikia tamati Januari 13, 2017, Azam ndio mapingwa wapya wa kombe hilo. Mbali na timu zao kupata au kukosa ubingwa wa taji la Mapinduzi, kuna wachezaji ambao wamejishindia zawadi/tuzo binafsi...
VIDEO: AZAM MABINGWA MAPINDUZI CUP
Azam
0

VIDEO: AZAM MABINGWA MAPINDUZI CUP

January 14th, 2017 | by mwana kabumbu
AZAM FC ndio mabingwa wapya wa michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2017, bada ya usiku wa jana kuifunga Simba, bao 1-0, katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Kiungo mkabaji Himid Mao Mkami ndiye...
ETI MKWASA KURUDI YANGA?
Kitaifa
0

ETI MKWASA KURUDI YANGA?

January 13th, 2017 | by mwana kabumbu
Klabu ya Yanga inatajwa kuwa kwenye mazungumzo na kocha wao wa zamani Charles Boniface Mkwasa kwa ajili ya kumrudisha kwenye benchi la ufundi la klabu hiyo. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Yanga kimeiambia shaffihdauda.co.tz...
MO HATIHATI KUIVAA AZAM FAINALI
Azam
0

MO HATIHATI KUIVAA AZAM FAINALI

January 13th, 2017 | by mwana kabumbu
Simba huenda ikamkosa kiungo wake mshambuliaji Mohammed Ibrahim katika mechi ya fainali. Simba itashuka dimbani Amaan kuivaa Azam FC katika mechi ya Kombe la Mapinduzi. Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amesema bado hali...
WENGER AWAONGEZEA MKATABA WAFARANSA WATATU
kimataifa
0

WENGER AWAONGEZEA MKATABA WAFARANSA WATATU

January 12th, 2017 | by mwana kabumbu
Arsene Wenger ametangaza habari njema kuwa wachezaji hao watatu muhimu wamesaini mkataba mpya huku Ozil na Sanchez wakisuasua  Olivier Giroud, Laurent Koscielny na Francis Coquelin wamesaini mkataba mpya kuendelea...
AZAM WAMLETA KOCHA MROMANIA
Azam
0

AZAM WAMLETA KOCHA MROMANIA

January 11th, 2017 | by mwana kabumbu
Mabingwa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana huu imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho. Cioaba, 45, raia wa Romania anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben Hernandez, aliyesitishiwa mkataba...
SIMBA WAIFATA AZAM FAINALI MAPINDUZI CUP
Azam
0

SIMBA WAIFATA AZAM FAINALI MAPINDUZI CUP

January 11th, 2017 | by mwana kabumbu
Simba SC imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuwatoa watani zao wa Jadi, Yanga kwa mikwaju ya penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Penalti za Simba zilifungwa na...
WASHINDI TUZO ZA FIFA 2016
kimataifa
0

WASHINDI TUZO ZA FIFA 2016

January 10th, 2017 | by mwana kabumbu
HAFLA ya FIFA ya kutunuku Tuzo za FIFA za Ubora Duniani kwa Mwaka 2016 zimefanyika Usiku huu huko Zurich, Uswisi na Cristiano Ronaldo kuibuka ndio Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani. Akitwaa Tuzo hii, Ronaldo, anaechezea...