breaking news

KABUMBU EP: 206; MAFANIKIO YA AZAM PAMOJA NA UWEKEZAJI
Azam
0

KABUMBU EP: 206; MAFANIKIO YA AZAM PAMOJA NA UWEKEZAJI

January 18th, 2017 | by mwana kabumbu
Kama hukupata nafasi ya kutazama kipindi cha kabumbu wiki iliyoisha, hiki hapa paneli pamoja na wapenzi soka mtaani wakiongelea maendeleo ya klabu ya Azam ukilinganisha na uwekezaji uliofanyika....
YANGA YAVUNJA MWIKO SONGEA, YAIZAMISHA MAJIMAJI 1-0
Kitaifa
0

YANGA YAVUNJA MWIKO SONGEA, YAIZAMISHA MAJIMAJI 1-0

January 18th, 2017 | by mwana kabumbu
Klabu ya Yanga imefikisha pointi 43 baada ya kushinda 1-0 dhidi ya Maji maji ukiwa ni mchezo wao wa 19 bado wakiwa nafasi ya pili nyuma ya Simba  Yanga SC imevunja mwiko wa kutoshinda Uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwa miaka...
ABOUTRIKA AORODHESHWA KAMA GAIDI MISRI
kimataifa
0

ABOUTRIKA AORODHESHWA KAMA GAIDI MISRI

January 18th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Al Ahly na Misri, Mohamed Aboutrika ameongezwa kwenye orodha ya magaidi nchini Misri kufuatia kutuhumiwa kuwa na uhusiano na kikundi cha Muslim Brotherhood kilichopigwa marufuku....
MZEE AKILIMALI AONGELEA SUALA LA LWANDAMINA NA PLUIJM
Kitaifa
0

MZEE AKILIMALI AONGELEA SUALA LA LWANDAMINA NA PLUIJM

January 18th, 2017 | by mwana kabumbu
Baada ya Yanga kufanya vibaya kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyomalizika hivi karibuni, Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Ibrahim Akilimali, ameuomba uongozi wa klabu hiyo kuliangalia kwa umakini suala la kutofautiana...
MANYIKA: ‘AZAM KUNA WAPIGA PESA’
Azam
0

MANYIKA: ‘AZAM KUNA WAPIGA PESA’

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Kabumbu ilipata bahati ya kukutana na moja ya golikipa bora kabisa kuwahi kutokea katika sura ya nchi yetu ya Tanzania, Peter Manyika. Manyika baba mzazi wa golikipa wa sasa wa Simba, Manyika Jr ameongelea masuala mengi kuhusiana...
MWAMBUSI: MSIVUNJIKE MOYO
Kitaifa
0

MWAMBUSI: MSIVUNJIKE MOYO

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Kocha msaidizi wa YangaJuma Mwambusi, amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa na imani na timu yao kwani bado inauwezo wa kufanya vizuri kwenye ligi ya Vodacom. Mwambusi ameiambia Goal, kufanya vibaya kwenye michuano ya Kombe la...
MTIBWA: HATUWAOGOPI SIMBA HATA KIDOGO
Kitaifa
0

MTIBWA: HATUWAOGOPI SIMBA HATA KIDOGO

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
  Kiungo-mshambulizi wa Mtibwa Sugar, Vicent Barnabas ametamba hawatishiki na kiwango cha Simba SC msimu huu.  Timu hizo mbili zinakutana siku ya Jumatano hii zikiwa katika nafasi tofauti katika msimamo wa ligi kuu. Simba...
NIYONZIMA: TUMPE MUDA MWALIMU
Kitaifa
0

NIYONZIMA: TUMPE MUDA MWALIMU

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
“Lwandamina ni mwalimu mzuri na tunamuelewa sana tofauti na watu wanavyodhania, pia watu wanahitaji kutambua kuwa, kocha huyo anatakiwa apewe muda wa kutosha kuweza kuinoa timu hiyo na hasa ukizingatia yeye ni mgeni, hivyo...
WACHEZAJI CHELSEA WAMJIA JUU DIEGO COSTA
kimataifa
0

WACHEZAJI CHELSEA WAMJIA JUU DIEGO COSTA

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Weekend hii mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Chelsea Diego Costa aliachwa na kocha Conte kwenye mechi dhidi ya Leicester kutokana na kutokuwa na maelewano. Inasemekana kwamba Costa aligomea mazoezi ya viungo ya kocha huyo na...
IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP
kimataifa
0

IBRA AMTETEA MOURINHO MBELE YA KLOPP

January 16th, 2017 | by mwana kabumbu
Goli la dakika za usiku la Zlatan Ibrahimovic limeifanya Manchester United kuambulia angalau pointi moja kwenye uwanja wao wa Old Trafford baada ya sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Liverpool. Liverpool walianza kuongoza kwa goli la...