breaking news

CREDO MWAIPOPO: TAIFA STARS BADO SANA KWENDA AFCON
Kitaifa
0

CREDO MWAIPOPO: TAIFA STARS BADO SANA KWENDA AFCON

January 24th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo wa zamani wa Yanga Credo Mwaipopo amesema haoni kama timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itafuzu kucheza michuano ya AFCON siku za hivi karibuni kwa kutaja sababu tatu ambazo anaamini ndio kikwazo kikubwa kwa soka...
MKUDE ALIO NA MITANDAO INAYO MGOMBANISHA NA SIMBA
Kitaifa
0

MKUDE ALIO NA MITANDAO INAYO MGOMBANISHA NA SIMBA

January 24th, 2017 | by mwana kabumbu
  Nahodha wa Simba, Jonas Mkude amelalamika kulishwa maneno akisema kuna mtandao unaomsakama akionyesha hofu huenda kuna watu wanataka kuvivuruga Simba.   Katika taarifa yake iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya...
WARAKA WA MANARA KWA TFF JUU YA MABADILIKO YA RATIBA
Kitaifa
0

WARAKA WA MANARA KWA TFF JUU YA MABADILIKO YA RATIBA

January 24th, 2017 | by mwana kabumbu
Na Haji S Manara Kuna kurogwa na kujiroga, kuna kufa na kujiua pia kulia na kuliliwa. Sisi Watanzania hakika tupo katika fungu la pili, fungu la kukosa , fungu mzigo, tunajiroga, tunajiua na tunaliliwa. Hakika hatujui twataka...
UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA MICHEZO LEO
Kabumbu Show
0

UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA MICHEZO LEO

January 24th, 2017 | by mwana kabumbu
...
METHOD MWANJALI MCHEZAJI BORA WA LIGI MWEZI DESEMBA
Kitaifa
0

METHOD MWANJALI MCHEZAJI BORA WA LIGI MWEZI DESEMBA

January 23rd, 2017 | by mwana kabumbu
Sentahafu wa Simba, Method Mwanjale amechaguliwa kuwa mchezaji bora Desemba wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2016/2017. Beki huyo wa kati, aliwashinda kiungo mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima na beki Yakubu Mohamed wa...
SIMBA WAITANDIKA POLISI DAR KOMBE LA FA
Ligi Kuu Ya Vodacom
0

SIMBA WAITANDIKA POLISI DAR KOMBE LA FA

January 23rd, 2017 | by mwana kabumbu
Simba imepata ushindi wa magoli 2-0 kwenye mechi yake ya kombe la FA dhidi ya Police Dar mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar. Athanas Pastory aliifungia Simba bao la kwanza kipindi cha kwanza lakini Mohamed Hussein...
ULIMWENGU ASAJILIWA SWEDEN
Kitaifa
0

ULIMWENGU ASAJILIWA SWEDEN

January 23rd, 2017 | by mwana kabumbu
MSHAMBULIAJI wa Tanzania  Thomas Ulimwengu  amesajiliwa na  timu inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden inaitwa Athletic Football Club Eskilstuna kwa mkataba miaka miwili. Baada ya mkataba wake na TP Mazembe kumalizika, Ulimwengu...
no-cover
Kitaifa
0

January 22nd, 2017 | by mwana kabumbu
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), wameanza vyema kulitetea taji lao kwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ashanti United. Mchezo  huo  uliochezwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam...
TFF YATOA UFAFANUZI JUU YA OKWI KUCHEZA SIMBA MSIMU HUU
Kitaifa
0

TFF YATOA UFAFANUZI JUU YA OKWI KUCHEZA SIMBA MSIMU HUU

January 21st, 2017 | by mwana kabumbu
Shirikisho la soka nchini TFF limetoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala la mshambuliaji kutoka nchini Uganda Emmanuel Anord Okwi ambaye anahusishwa na taarifa za kurejea nchini kujiunga na klabu ya Simba ili amalizie sehemu ya...
KOCHA MRENO AIKACHA AFRICAN LYON
African Lyon
0

KOCHA MRENO AIKACHA AFRICAN LYON

January 19th, 2017 | by mwana kabumbu
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya African Lyon Bernado Tavares na msaidizi wake Joaquin Valinho juzi usiku wamesaini rasmi mkataba wa kuifundisha timu ya ligi kuu katika Visiwa vya Maldives ya New Radiant Sports Club. Akizungumza...