breaking news

DIMITRI AIKACHA WESTHAM ATIMKIA UFARANSA
tetesi
0

DIMITRI AIKACHA WESTHAM ATIMKIA UFARANSA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo Mfaransa Dimitri Payet amerejea kwao Ufaransa na kujiunga na klabu yake ya zamani ya Marseille. Marseille imekubali kulipa pauni million 25 kwa West Ham ya England. Awali, kiungo huyo alianza vituko ikiwa ni pamoja na...
YANGA YARUDI KILELENI, YAICHINJA MWADUI GOLI 2-0
Kitaifa
0

YANGA YARUDI KILELENI, YAICHINJA MWADUI GOLI 2-0

January 29th, 2017 | by mwana kabumbu
Timu ya Yanga leo imefanikiwa kuishusha Simba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mwadui. Katika mchezo huo wa leo uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...
SIMBA YAWA MDEBWEDO KWA AZAM, YACHEZEA KICHAPO MARA YA PILI NDANI YA MWEZI MMOJA
Azam
0

SIMBA YAWA MDEBWEDO KWA AZAM, YACHEZEA KICHAPO MARA YA PILI NDANI YA MWEZI MMOJA

January 28th, 2017 | by mwana kabumbu
Goli pekee lililowekwa kimiani na nahodha John Raphael Bocco ‘Adebayor’ limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es...
SERIKALI YAUFUNGUA UWANJA WA TAIFA, SIMBA NA AZAM KUKIPIGA HAPO
Kitaifa
0

SERIKALI YAUFUNGUA UWANJA WA TAIFA, SIMBA NA AZAM KUKIPIGA HAPO

January 27th, 2017 | by mwana kabumbu
Kufuatia uharibifu uliotokea kwenye Uwanja wa Taifa, Oktoba mosi, 2016 wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Yanga, kisha Serikali ya Tanzania kutangaza kuufungia uwanja huo, hatimaye sasa umefunguliwa na ruksa...
CHIPUKIZI WA TAIFA STARS ASJILIWA URENO
Kitaifa
0

CHIPUKIZI WA TAIFA STARS ASJILIWA URENO

January 26th, 2017 | by mwana kabumbu
Mollel akiwa katika mazoezi ya Taifa Stars alipoitwa katika kikosi hicho na kocha Boniface Mkwasa mwaka juzi. Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Orgeness Mollel  amejiunga na klabu ya Famalicao ya nchini Ureno kwa...
MO AREJEA MAZOEZINI, AONGEZA MATUMAINI MSIMBAZI
Azam
0

MO AREJEA MAZOEZINI, AONGEZA MATUMAINI MSIMBAZI

January 26th, 2017 | by mwana kabumbu
Kiungo Mohammed Ibrahim amerejesha matumaini ya Wanasimba. Ibahim maarufu kama Mo anaonekana kuwa vizuri katika siku zote tatu ambazo Simba wamefanya mazoezi yeye akiwa ndani. Maana yake, suala la kucheza au la katika mechi ya...
EVRA AWATEMA JUVE AREJEA UFARANSA
tetesi
0

EVRA AWATEMA JUVE AREJEA UFARANSA

January 26th, 2017 | by mwana kabumbu
Beki wa kushoto wa zamani wa Man United, Patrice Evra sasa amerejea kwao Ufaransa. Evra amejiunga na Marseille ya kwao Ufaransa akitokea Juventus ya Italia. Klabu hizo mbili zimekubaliana mkataba wa miezi 18 baada ya Evra kuwa...