breaking news

YANGA WANAPO NIKUMBUSHA ULE MSEMO WA KISWAHILI TENDA MEMA NENDA ZAKO.
Fikra
0

YANGA WANAPO NIKUMBUSHA ULE MSEMO WA KISWAHILI TENDA MEMA NENDA ZAKO.

February 22nd, 2017 | by mwana kabumbu
Na Aidan Mlimila Wakati nikifuatilia mechi ya fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika mapema mwaka huu kati ya timu ya Taifa ya Cameroon dhidi ya Timu ya Taifa ya Misri, mechi iliyoisha kwa Cameroon kutwaa kombe hilo kwenye fainali...
SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3
Kitaifa
0

SIMBA WAIKUNG’UTA MAJIMAJI GOLI 3

February 4th, 2017 | by mwana kabumbu
Klabu ya Simba leo wameiadabisha Majimaji ya Songea Bao 3-0  huku nyota ambao walikuwa hawapewi nafasi ya kuanza mara kwa mara katika kikosi hicho wakiongoza mauaji. Mshambuliaji Ibrahim Ajib migomba ndie alikuwa sa kwanza...
MKWASA AREJEA YANGA, SASA NI KAMA KATIBU MKUU
Kitaifa
0

MKWASA AREJEA YANGA, SASA NI KAMA KATIBU MKUU

February 1st, 2017 | by mwana kabumbu
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya kandanda Tanzania bara, klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam, imemteua nahondha na kocha wake wa zamani, Charles Boniface Mkwasa maarufu kama “Master” kuwa katibu mkuu mpya wa klabu hiyo kwa...
SERIKALI KUTENGA SHULE MAALUM KWA AJILI YA MICHEZO
Kitaifa
0

SERIKALI KUTENGA SHULE MAALUM KWA AJILI YA MICHEZO

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Na: Imani Kelvin Mbaga, Dar es salaam. Serikali imeamua kuanza kuwekeza katika michezo kwa kutenga shule 55 za sekondari ambazo zitakuwa za mchepuo wa michezo na kuchukua wanafunzi watakao fanya vema katika masomo na michezo ili...
TFF YAZINDUA MKAKATI KUELEKEA OLIMPIKI 2020 TOKYO
Kitaifa
0

TFF YAZINDUA MKAKATI KUELEKEA OLIMPIKI 2020 TOKYO

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Shirikisho la soka nchini Tanzania limezindua mpango mkakati utakaoiwezesha Tanzania kupeleka timu ya mpira wa miguu kushiriki michuano ya Olimpiki 2020 inayotarajiwa kufanyika katika jiji la Tokyo nchini Japani. Mgeni rasmi...
BOCCO: TUTAGAWA DOZI HATA KWA YANGA
Azam
0

BOCCO: TUTAGAWA DOZI HATA KWA YANGA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Baada ya kuitungua Simba, mshambuliaji na nahodha wa Azam, John Bocco, ametangaza kuwa kila mchezo wao ni fainali ambapo wataendelea kugawa dozi hata wakikutana na Yanga. Bocco aliibuka shujaa kwa upande wa timu yake baada ya...
GOLIKIPA WA KAGERA SUGAR, DAVID BURHANI AMEFARIKI DUNIA
Kagera Sugar
0

GOLIKIPA WA KAGERA SUGAR, DAVID BURHANI AMEFARIKI DUNIA

January 30th, 2017 | by mwana kabumbu
Kipa wa Kagera Sugar, David Burhani amefariki dunia. Burhani aliyewahi kuichezea Mbeya City kwa mafanikio, amefia katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Taarifa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa Kagera Sugar zimeeleza marehemu...