breaking news

Habari za Kitaifa

 • JKT RUVU WAIPIGA STOP SIMBA
  0
  Jkt Ruvu
  August 27th, 2016

  JKT RUVU WAIPIGA STOP SIMBA

  Baada ya kupata ushindi wa magoli 3-1 kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ndanda FC, imba SC imejikuta ikibanwa na maafande wa JKT Ruvu na kulazimishwa suluhu (0-0) katika mchezo wa ligi ku Tanzania bara uliomalizika kwenye uwanja wa taifa. Laudit Mvugo (kulia) akitafuta...Read more

Kabumbu Skuli

Habari za Kimataifa

Fikra za MwanaKabumbu

KUNA WAKATI HAUHITAJI PESA KUPATA KILICHO BORA MAISHANI..
0

KUNA WAKATI HAUHITAJI PESA KUPATA KILICHO BORA MAISHANI..

May 11th, 2016 | by mwana kabumbu
FIKRA ZA MWANAKABUMBU Na Aidan Mlimila Kuna kipindi rais wa kwanza wa Afrika ya Kusini, Hayati Nelson Mandela aliwahi kunukuliwa akisema “Pesa haiwezi kuleta mafanikio bali uhuru wa kujiamulia ndiyo unaoweza kuleta...
WAINGEREZA WAKATI NDIYO HUU AU BADO TUENDELEE KUSUBIRI KIZAZI KINGINE?.
0

WAINGEREZA WAKATI NDIYO HUU AU BADO TUENDELEE KUSUBIRI KIZAZI KINGINE?.

March 29th, 2016 | by mwana kabumbu
FIKRA ZA MWANA KABUMBU: Na: Aidan Mlimila “Some people are on the pitch. They think it’s all over-It is now”. Ilikuwa ni mwaka 1966 kwenye Uwanja wa Wembley na hayo yalikuwa ni maneno ya mtangazaji wa shirika la...